Tupeane offer nzuri za simu kipindi hiki cha sikukuu (Samsung Only)

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
HABAR WADAU

Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu.

Natanguliza shukrani za dhati.

km bando kwako ni shida kasajli laini ya smile upate gb 14 BURE KILA UONGEZAPO SALIO

1640034763272.jpeg
 
Akina tekino acheni vurugu.

Hiyo smart ni ofa kwa wote au inabagua wanaangalia na sura ya mtu..?😁
 
HABAR WADAU

Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzur za samsung kipind...

number yao waliyoweka ya huduma haipatikani arusha mpo wap ?
 
Nipo hapa na j8 Samsung lkn nipo tandahimba naipate line ya smile mkuu?
Usihangaike homebouy ,smile wako dar ,arusha mbeya morogoro,mwanza na dom basi sisi tukomae na utopolo tu ila hawa jamaa siku wakifika Nachingwea siwez waacha ,huduma ya VoLTE ,unaijua ,hawa jamaa wanayo.
 
Hapana mkuu volte ndio nini
Usihangaike homebouy ,smile wako dar ,arusha mbeya morogoro,mwanza na dom basi sisi tukomae na utopolo tu ila hawa jamaa siku wakifika Nachingwea siwez waacha ,huduma ya VoLTE ,unaijua ,hawa jamaa wanayo.
 
HABAR WADAU

Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu...
hiyo g14 ni offer ya sikukuu au ipo siku zote?
 
Usihangaike homebouy ,smile wako dar ,arusha mbeya morogoro,mwanza na dom basi sisi tukomae na utopolo tu ila hawa jamaa siku wakifika Nachingwea siwez waacha ,huduma ya VoLTE ,unaijua ,hawa jamaa wanayo.
Kuna comment kuhusiana na internet bundle za smile ilinitamanisha... But Naona Dodoma wamefunga ofisi zao zilizokuwa pale Mackay house jirani na General Hospital. Juzi niliwatafuta sikuwapata. Na mtaani hakuna anayeuza line zao.
 
Back
Top Bottom