Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

Mwambie aweke namba tofaut na hyo kama yake inaishia 21 bas abadili aweke 22 ikishakubali ndo aedit.aweke.yale ngoma inakuwa sawa
Kajaribu kufanya hilo, inakubali lakini akiedit bado ngoma inakataa
 
iyoo email ushaisajiliaa kwa acc ingne thats y inakwambia ivoo
ushauri,fungua email ingne na ujsajir upyaaa,kwan kufungua email n chap tyuu
sawa mkuu ngoja nijaribu kufungua nyingine. ila nilijaribu several emais lakini bado ilikataa pia
 
wakuu naface difficulties kwenye kuomba. nimefungua email nyingine lakin system inasema hii account tayari ipo. mwaka jana kweli nilifungua account na niliombaga zile nafasi. changamoto ukitaka kuingia wanakwambia uingize email address/form 4 index number na password. hii inakataa sababu mwaka jana tulitengeneza username na password tu na sio index number. hivi nikienda pale utumishi hawawezi kunisaidia na kufuta ile account ya zamani na nikaanza upya? nikijaribu kuandika email ili kurecover password pia inalataa. na pia sidhani kama mwaka jana tulijaza email address sehem yoyote. nataka niende utumishi wakanisolvie hii issue, wadau mnasemaje
 
Hapo naona kabisa wewe ndio umesahau, ni lazima ulitumia email na uliweka index number labda useme umesahau ulitumia email gani.
Haiwezekani uliregister halafu haukuweka email na index number.
Bonyeza reset password kisha weka email yako ili wakutumie link ya kureset password kwenye hiyo email, wakisema email not found ujue haukutumia email hiyo kucreate account hivyo kumbuka email yako nyingine, au inawezekana pia mtu aliyekusaidia kipindi hicho alitumia email yake.
Lakini pia unavyosema ukiweka inakataa je,inatoa ujumbe gani? Piga picha weka hapa tuone
 
Mimi nimejaza mchana nikasabmit,nikapata masage ya application submited badae kidogo nakuja kuangalia naambiwa incomplete application, please complete your application. Na nilijaza vyema maana huwezi kwenda hatua ingine kama hujamaliza moja, natakiwa kwenye secondary background, college background na choice inaonekana hakuna kitu. Najaribu kuingia haitaki kusavu nifanyeje!View attachment 1566648View attachment 1566650
Wewe umeshamaliza kuapply,tulia.
 
wakuu naface difficulties kwenye kuomba. nimefungua email nyingine lakin system inasema hii account tayari ipo. mwaka jana kweli nilifungua account na niliombaga zile nafasi. changamoto ukitaka kuingia wanakwambia uingize email address/form 4 index number na password. hii inakataa sababu mwaka jana tulitengeneza username na password tu na sio index number. hivi nikienda pale utumishi hawawezi kunisaidia na kufuta ile account ya zamani na nikaanza upya? nikijaribu kuandika email ili kurecover password pia inalataa. na pia sidhani kama mwaka jana tulijaza email address sehem yoyote. nataka niende utumishi wakanisolvie hii issue, wadau mnasemaje
Issue ndogo sana hii, njoo PM nikusaidie
 
Wakuu niwakumbushe tu, hakikisha kwenye application yako kwenye application letter pale chini attach copy ya kadi yako ya chama, utanishukuru baadae.
 
Back
Top Bottom