Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

Wanafanya kusudi washaniblock
Screenshot_20200909-150726_Opera.jpg
 
nimeweza kulogin na kutuma maombi.. changamoto ni stage ya mwisho pale kwenye applicant teaching subjects, inaonekana masomo ya kufundishia hayapo yote, labda wayaupdate kadri muda unaokwenda
Mkuu umefanikiwa vipi?. Umetumia utaratibu gani?.
 
jamani mnaofanikiwa mnafanyaje? mi naona chenga tu, hata kujisajili tu sijafanikiwa. Nakosea wapi?
 
Hao wanaofanikiwa ni kama zari tu, na hiyo inatokea pale ambapo yule aliyepata access ya ku-login akishamaliza kutuma maombi basi nafasi yake ndio inayo gombaniwa

Hii site ishakua jammed. Ni sawa na jagi lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita moja halafu ukataka kufosi uweke lita nne
 
Huu ndio ukweli site imejam.
 
Back
Top Bottom