Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

Maji ni lazima uyatumie uwe unayapenda au laaa!!!
Usipoyanywa utayaoga au tafulia au wataoshea maiti yako
Hii inafanana na kukesha, usipokesha ukiwa kanisani utakesha baa kama hukukesha ukiwa shule utakesha ukiwa unaaply chuo. In short lazima ukeshe
 
usiku wa kuamkia leo nimelala saa nane, sasa itabidi leo nisilale kabisa
 
na inakuaje kama una majina mawili ya kwenye cheti lakini kwenye kipengele cha general info wanataka majina matatu ndo iende next
 
kuna namna yeyote ya kuondoa somo kwenye kipengele cha "APPLICANT TEACHING SUBJECT"..?

nAHITAJI KUONDOA BIOLOGY KUTOKA KWENYE ORODHA.
Capture.PNG
 
Alaf nadhan huu mfumo unawatenga watu wa masomo ya arts (geog, hist na kiswahili) maana hatua ya mwisho ya kuadd choice mikoa haiji.
Lakin kwenye tangazo lao lile walisema kwa masomo hayo kwa degree holder unaweza omba primary, sasa hata iyo option ya kuselect Kati ya primary au secondary siioni.

Niko ovless jamani😌😭
 
Au Kama Kuna mtu anafahamu namna ya degree holders kuomba primary
 
Huu mchakato nimeuanza toka tarehe 8, na usiku wa tar 8 kuamkia tar 9 nililala saa nane usiku bila mafanikio, usiku wa kuamkia leo, nimekomaa kuvumilia kuyaangalia yale maputo [emoji23][emoji23] na mtandao ukanikubalia japo kwa kuubembeleza na hatimae mida ya saa kumi na moja kasoro asbh nikakamilisha.

Kwa ambao hawajakamilisha, endeleeni kujaribu na uvumilivu ni muhimu. Hii site ni kujaribu day and night maana kuna wengine walifanikisha jana saa tatu asbh.

Changamoto kubwa za huu mfumo ni pamoja na kuwa slow sanaa, yaani hadi kero. Pia nimeona kwenye Date of Birth (DoB) inapunguza siku moja kwenye tarehe. Mfano ukiandika 1980/01/5, mfumo unabadilisha na kuandika 1980/01/4.

Pia centre namba za shule zinabadilika, mfano S1168 inabadilika S900 baada ya ku-save choices. Kibaya kabisa, unavyozidi kuchelewa nafasi zinajaa. Kwahyo mwishowe utajikuta umefanikiwa kuingia kwenye mfumo na kukuta shule zenye uhitaji wa masomo yako zimeondoka baada ya vacancy zilizokuwepo kujaa.

Mwisho kabisa, nawashauri ambao bado kuwa mfumo hauhitaji hasira, nenda nao kwa uvumilivu.
 
Mimi mnisaidie wadau. Nimeweka machaguo 9 badsala ya matano. Nimekuja kuona hivyo baada ya kisubmit kabisa na hakuna option ya kuedit. Kwakawaida machaguo ni matano
 
NI kweli nimejaribu kuedit mara kadhaa nikijua nilikosea kuweka lakini haikubadilika yaani.
Huu mchakato nimeuanza toka tarehe 8, na usiku wa tar 8 kuamkia tar 9 nililala saa nane usiku bila mafanikio, usiku wa kuamkia leo, nimekomaa kuvumilia kuyaangalia yale maputo [emoji23][emoji23] na mtandao ukanikubalia japo kwa kuubembeleza na hatimae mida ya saa kumi na moja kasoro asbh nikakamilisha.

Kwa ambao hawajakamilisha, endeleeni kujaribu na uvumilivu ni muhimu. Hii site ni kujaribu day and night maana kuna wengine walifanikisha jana saa tatu asbh.

Changamoto kubwa za huu mfumo ni pamoja na kuwa slow sanaa, yaani hadi kero. Pia nimeona kwenye Date of Birth (DoB) inapunguza siku moja kwenye tarehe. Mfano ukiandika 1980/01/5, mfumo unabadilisha na kuandika 1980/01/4.

Pia centre namba za shule zinabadilika, mfano S1168 inabadilika S900 baada ya ku-save choices. Kibaya kabisa, unavyozidi kuchelewa nafasi zinajaa. Kwahyo mwishowe utajikuta umefanikiwa kuingia kwenye mfumo na kukuta shule zenye uhitaji wa masomo yako zimeondoka baada ya vacancy zilizokuwepo kujaa.

Mwisho kabisa, nawashauri ambao bado kuwa mfumo hauhitaji hasira, nenda nao kwa uvumilivu.
 
Kuna namna ya kuedit someone mfano, mwanzo niliingilia biology coz art hazikuwepo vp naweza toa niweke somo langu
 
system iko vizur sasa, bado vitu vidogo vidogo kama teaching subjects tu ndo hazipo zote kama ukiangalia mwongozo wa tamisemi unavosema
Kwahio wanaweka online system ambayo bado kuna vitu vidogo vidogo havijakaa sawa...., Mimi naona waanze kwanza kuchukua maombi ya watu wa IT kwanza sababu hawa waliopo inaonekana wana-mapungufu
 
Back
Top Bottom