loco
Member
- Dec 20, 2012
- 63
- 40
Mkuu uwezi kuandika barua kwenye exel ni kwa ajili ya mahesabuwewe ulijibu je?
Mkuu uwezi kuandika barua kwenye exel ni kwa ajili ya mahesabuwewe ulijibu je?
Utakuwa umechanganya madawa!! Hiyo inayozungumzia ni Mailing & Merge.Mkuu nisaidie kujua namna ya kuandika barua kwa excel na kuituma kwa mtu zaidi ya mmoja.....
Mkuu hyo mailing &merge inahusika kote kemwenye xcel na ms word kwa maana kuwa unaweza fanya xcel ndo source ya data unazotaka kufanyia hyo mail &merge kwenye ms word. Lkn pia xcel unaweza kuandika barua (km ms word vile) kisha ukazituma kwa watu wote kwa kutumia lookup function. Lakin njia nzuri na rahs zaidi ni hyo ya mail merge ya ms word.Utakuwa umechanganya madawa!! Hiyo inayozungumzia ni Mailing & Merge.
Ms Word ndiyo inahusika kwenye kazi hiyo siyo excel
PS:
Kama upo Telegram unaweza Ingia Kwenye Public Channel ipo hapo chini Kwa vitu ambavyo haviwezekani kuelezewa hapa vizuri..Kama video na files. Ni public channel ya kusoma na Sio sehemu ya chatting!
gonga hapo >>>> Excel/SpreadsheetsTZ
Ethos
mkuu tupia link ya telegram
Yap... jamaa solution yake too manual. Hapo unatakiwa kutumia pivot table. Inakusaidia ku summarize data zako kwa namna unavyotakaSasa we jamaa, uliyoitoa inakuwa kama manually kwa kuwa kila somo itanibidi nitafute idadi ya A peke yake kwanza, kisha B+ peke yake, kisha B peke yake, kisha C peke take, n.k yaani mpaka masomo yote 9 ni shughuli.
Sasa mi nataka formula ya ku-process masomo yote 9 na kwa wanafunzi wote (hata wakiwa 600 kwa mfano) ili nipate summary ya jumla ya grades hizo kwa kila somo kwa wanafunzi wote.