Tupeane maujanja ya Excel

Mkuu nisaidie kujua namna ya kuandika barua kwa excel na kuituma kwa mtu zaidi ya mmoja.....
Utakuwa umechanganya madawa!! Hiyo inayozungumzia ni Mailing & Merge.
Ms Word ndiyo inahusika kwenye kazi hiyo siyo excel
 
Utakuwa umechanganya madawa!! Hiyo inayozungumzia ni Mailing & Merge.
Ms Word ndiyo inahusika kwenye kazi hiyo siyo excel
Mkuu hyo mailing &merge inahusika kote kemwenye xcel na ms word kwa maana kuwa unaweza fanya xcel ndo source ya data unazotaka kufanyia hyo mail &merge kwenye ms word. Lkn pia xcel unaweza kuandika barua (km ms word vile) kisha ukazituma kwa watu wote kwa kutumia lookup function. Lakin njia nzuri na rahs zaidi ni hyo ya mail merge ya ms word.
 
Kifupi xcel ni kila kitu unachokitaka cha msingi ni kukazana na mazoezi kila wkt maana hii kitu ni km hesabu kila cku lazma usolve ili usisahau na uwe fit zaid. Juzi kati nimetengeneza student id kwenye xcel kwa kutumia lookup function. Ilikuwa ni ktk harakati za kupanua uelewa wangu wa xcel(trial and error)
 
PS:
Kama upo Telegram unaweza Ingia Kwenye Public Channel ipo hapo chini Kwa vitu ambavyo haviwezekani kuelezewa hapa vizuri..Kama video na files. Ni public channel ya kusoma na Sio sehemu ya chatting!


gonga hapo >>>> Excel/SpreadsheetsTZ

Ethos

Ujumbe kutoka Telegram kwenda kwa creator wa Channel Ndugu Ethos;

The account of the user that created this channel has been inactive for the last 5 months. If the account of the creator remains inactive in the next 28 days, it will be self-destructed and the channel will lose its creator.
 
Sasa we jamaa, uliyoitoa inakuwa kama manually kwa kuwa kila somo itanibidi nitafute idadi ya A peke yake kwanza, kisha B+ peke yake, kisha B peke yake, kisha C peke take, n.k yaani mpaka masomo yote 9 ni shughuli.
Sasa mi nataka formula ya ku-process masomo yote 9 na kwa wanafunzi wote (hata wakiwa 600 kwa mfano) ili nipate summary ya jumla ya grades hizo kwa kila somo kwa wanafunzi wote.
Yap... jamaa solution yake too manual. Hapo unatakiwa kutumia pivot table. Inakusaidia ku summarize data zako kwa namna unavyotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
88 Reactions
Reply
Back
Top Bottom