Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,706
- 22,588
- Nimepitia AMAZON na EBAYMi natafuta miwani ya jua. ya kiume. style ya aviator. Iwe na 100% UVA&UVB protection maana naona jua linaniletea mushkeli hadi niweke kacap na mkono ndiyo naona fresh. Size isizidi 55mm.
- Bei ya hii miwani ni kati ya USD 16 hadi 25
- Wauzaji wengi hawatumia Tanzania (africa)
- Kwa ambao wanatuma Tanznaia, Freight cost ni kati ya USD 22 hadi 33
Hivyo ni changamoto kupata hii miwani kwa USD20, kwa kuiagiza.
Reference: