Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nahitaji mrejesho wa wale wanaume wenzangu wanaokwenda kwa mwanamke direct na kusema Fulani Mimi nimekupenda nataka nikuowe!na mwanamke akikubali anamuowa bila kupima oil bila nini,na wengine ni wale wanaotumia watu kuwa anataka kumuowa binti Fulani bila kujuana wala nini na binti akikubali jamaa anaowa bila shake before use!
Hivi huu ujasiri mnaotoa watu kutia mkono gizani wakuu!!?
Walioowa kwa style hiyo njoeni mtuletee mrejesho
Hivi huu ujasiri mnaotoa watu kutia mkono gizani wakuu!!?
Walioowa kwa style hiyo njoeni mtuletee mrejesho