Mbona unamuhisi hivyo,, MI hata simuongelei huyo bana, MI Nasema huyo unaempenda utaleta mrejesho umekalia kumtaja tu Khaaaaa au kuna nini Labda mpaka unanikera sasaTushabahatishana ivoo. Hata ikishindwa kufanya kazi trust me tutakua hivi hivi. Ndo maana nakwambia huyu wa jana leo na kesho. Sema sasa huyu sio N kabisa kabisa. Mimi na N ni zaidi ya hivi ndo maana hatuwezi kudate wala kuachana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nani huyo shoo mwingine mnaemwangalia akizingua. Btw wako watatu humu sema mmoja ndo namzimia hatari.We nae kwa kumtaja Huyo hata hahusiki Hapa wenzio tushagaywa kwanza unamvyotaja unaleta mengine
Huoni nimekuambia Utanitajia pm,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio neiba ako MissIhihiii N huyu naemjua Mimi au?
AhahaaaMm nipo kwa ajili yako sitaki sana papuchi ila upendo tu
Vip tena mbona kichekoAhahaaa
Acha kutaja majina ya watu bana, hao wengine huwezi jua Nenda nao tuSasa nani huyo shoo mwingine mnaemwangalia akizingua. Btw wako watatu humu sema mmoja ndo namzimia hatari.
Utanitajia tuWeee. Sikutajii pm kwanza hata huwa hachat sana. [emoji2][emoji2]
Nikajua yeye mama maana ndo kipenzi namba moja na namba mbili humu. Kama sio yeye sawa. Ila mwingine ntakwambia nikishamaliza naeMbona unamuhisi hivyo,, MI hata simuongelei huyo bana, MI Nasema huyo unaempenda utaleta mrejesho umekalia kumtaja tu Khaaaaa au kuna nini Labda mpaka unanikera sasa
Nimeacha kwanza sponsor keshakuja pm anajua namcheatAcha kutaja majina ya watu bana, hao wengine huwezi jua Nenda nao tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimmaliza ntakutajia sasa hivi subiri kwanza nimalizane nae.Utanitajia tu
Poa basi tukiwa tunapeana ubuyuuu usitaje majina ya watu watajihisi bure na tuitwe hater Kwenye hakunaNikajua yeye mama maana ndo kipenzi namba moja na namba mbili humu. Kama sio yeye sawa. Ila mwingine ntakwambia nikishamaliza nae
Hahahahaaa.. basi mama nimefunga mdomo.Poa basi tukiwa tunapeana ubuyuuu usitaje majina ya watu watajihisi bure na tuitwe hater Kwenye hakuna
Wacha weeeKuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang
Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda
Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?
Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini
Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman
Wacha nilie tu hakuna namna
Leo hutoki?Hahahahaaa.. basi mama nimefunga mdomo.
Huwezi jua tunakula Sahani Moja,, mwaya natania mi nnaehangaika nae Huku ni mmoja tu,, na msonjo basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimmaliza ntakutajia sasa hivi subiri kwanza nimalizane nae.
Nani huyo?? [emoji23][emoji23][emoji23]. Njoo pembeni kwanza tukasogoe.Huwezi jua tunakula Sahani Moja,, mwaya natania mi nnaehangaika nae Huku ni mmoja tu,, na msonjo basi
Mtafute muyamalize na msimu wenyewe ndo huuMy best Valentine's for the last three years ilikuwa na mdada niliekutana nae humu JF, kwenye thread kama hii. Kiutani tu nilisema im single for that day na yeye akasema yuko single tutumie hio siku pamoja. It was amazing, siku hio nilienda kumchukua kwao, maeneo yale mnaita ya ki-sure, Dar hii eneo hilo lipo top 3! Nimeibuka na ki-corolla geti kufunguliwa kumejaa ndinga za hatari hizo balaa! Mtoto wa watu wala hana makuu, kaingia hao tukaenda dinner. Aisee ilikuwa kama tumefahamiana miaka zaidi ya 20 iliopita kwasababu kumbe tulikaa mitaa fulani pamoja enzi hizo.
Huyu dada alinielewa sana sema ndio hivyo im sorry to admit niliharibu,na dada was too smart alikuwa anaweza kusoma mazingira. Allin all popote ulipo K you are amazing.