Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wakuu napenda kujua au tusaidiane kupanga wizara kulingana na umuhimu wake wa Nchi yetu.
Mfano Mara nyingi naona kama na kuna waziri na wizara ya mambo nje inaoenekana ni muhimu sana kuliko wizara kama ya Kilimo, Madini Utalii.
Je
Naaanza kwa mtazamao wangu hizi ndizo wizara muhimu tano kwa kufuata mpangilio.
Nawasilisha kwa mjadala
Mfano Mara nyingi naona kama na kuna waziri na wizara ya mambo nje inaoenekana ni muhimu sana kuliko wizara kama ya Kilimo, Madini Utalii.
Je
- Tanzania tuna haja ya kuipa kpipaumbele wizara ya mambo ya nje kama wafanyavyo USA, UK?
- Tunaweza Kusadiana kupanga wizara zetu ulingana na umuhimu wake?
- Viapaumbele (Priority) zetu na za serikali zinakwenda sawa na hali halisi.
- Unyeti au umuhimu wa wizara ya mambo ya nje unatokana na nini hasa. Tuna maslahi gani nchi gani ya kiasi gani?
Naaanza kwa mtazamao wangu hizi ndizo wizara muhimu tano kwa kufuata mpangilio.
- Madini na Nishati
- Kilimo
- Utalii
- Fedha na Mipango
- Ulinzi na mambo ya ndani
Nawasilisha kwa mjadala