Tuongeze thamani ya majina yetu

Tuongeze thamani ya majina yetu

Bila kumsahau, Jiwe, kiongozi wa malaika mbinguni 😹😹😹
Pesa na madaraka zinalevya hasa kwa watu maskini ambao wanapata hela na madaraka ukubwani.

Zile childhood trauma za shida na umaskini waliopitia, ndio zina pelekea wajimwambafy na kujikuza sana.

Lakini ukicheki wazungu, Mtu kama Elon Musk jina lake ni hilohilo tangu utotoni.

Au Mark Zuckerberg jina lake ni hilohilo tangu utotoni.

Ila mwafrika akishashika pesa, anaanza kujiita majina ya sifa..😂
 
Back
Top Bottom