Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,814
- 61,494
- Thread starter
- #61
Kwa huko mtaani hakuna tatizoWinga Lamomy si inatosha? 😹
Kwa huko mtaani hakuna tatizoWinga Lamomy si inatosha? 😹
Kwa wapi ndio itakua tatizo? Kumbe thamani ya jina hua inabadilika badilika kama Kinyonga kutokana na mazingira ya unapokua!Kwa huko mtaani hakuna tatizo
Mpuuzi weeh 😹Kwa huko mtaani hakuna tatizo
Kashalewa komoni huyo..!!Kwa wapi ndio itakua tatizo? Kumbe thamani ya jina hua inabadilika kama Kinyonga kutokana na mazingira ya unapokua!
Nisamehe babanguuuuUnasema nini tumaa? Utaka wadogo zako waende dukani na wametoka daslamu jana tu, wewe nilini ulituma pesa ya nyama hata jumapili moja , ebu toa upumbafu wako hapa ngikukaba na kireta
Huyu jamaa alivuna gunia 15 za mpunga akaja kutafuta mwanamke humu kisa eti kavuna mpunga.Kashalewa komoni huyo..!!
Wataalamu wanasema, kuna standard za kimataifaKwa wapi ndio itakua tatizo? Kumbe thamani ya jina hua inabadilika badilika kama Kinyonga kutokana na mazingira ya unapokua!
Hakuna tofauti na fundi cherehaniMpuuzi weeh 😹
Winga kama dalali, kwenye hisa wanaitwa brokers.. Huoni huyo ni mshambuliaji kwenye madili ya pesa?
Kina nani hao wataalamu?Wataalamu wanasema, kuna standard za kimataifa
Gunia 15 za mahindi?Huyu jamaa alivuna gunia 15 za mpunga akaja kutafuta mwanamke humu kisa eti kavuna mpunga.
😀 😀
Thamani ya Jina la Bill Gates na Bwana Mark unaweza kuilinganisha na thamani ya Dr. gani ama Prof. gani?Kuna kuipa thamani jina lako na kujipa thamani katika kutambulika kwako (legacy), hivyo ni vitu viwili tofauti.
Yule mjukuu wake bondia, kama atapewa nafasi itapendeza sanaUmenikumbusha majina(tiltes) ambazo IDDI AMINI DADA alijiita wakati wa utawala wake.
This Was The Official Titles Of The Ugandan President Idi Amin Dada.
Hivi ndivyo jamaa alivyojiita...👇
“His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, CBE, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”
😂😂😂
Madaraka ni 'power' ya umunguMobutu Sese seko yule Raisi wa Congo na yeye alikuwa anaitwa Joseph Mobutu.
Lakini alivyopata madaraka akajiita.
Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga.
Madaraka ni yanalevya sana.
Unatamani kuitwa vyeo na majina vyote...😂😂
Bila kumsahau, Jiwe, kiongozi wa malaika mbinguni 😹😹😹Mobutu Sese seko yule Raisi wa Congo na yeye alikuwa anaitwa Joseph Mobutu.
Lakini alivyopata madaraka akajiita.
Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga.
Madaraka ni yanalevya sana.
Unatamani kuitwa vyeo na majina vyote...😂😂
Mimi najulikana kama Dalali Juma Bakari.Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo?
Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza thamani ya majina yetu.
Kama mpaka umri huu, bado unatumia majina yaleyale uliyopewa na wazazi, na hujayaongezea thamani kwa kuanza na jina Dr au Prof. utaonekana bado ni mtu wa kizamani, wa karne iliyopita.
Kama tunaongezea thamani kwa kitu kilicho chakaa, ni muhimu pia kuongeza thamani ya jina lako lililochakaa.
Ingawa kuna changamoto ya kufikia hiyo thamani ya majina, wengine wanaamua kujiongezea thamani ya majina mfano mwinjilist, mchungaji, CP nini n.k
Lakini, ni muhimu kutambua, thamani ya majina yako duniani, yataongezwa na haya maneno mawili tu, Dr au Prof. Hizo zingine huwa ni mbwembwe tu.
Twendeni darasani