Tuongeze thamani ya majina yetu

Tuongeze thamani ya majina yetu

Thamani yako huongezeka pale ambapo maisha yako yamechangia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii na sio kuwa na Permanent Head Damage (PhD) ama kuwa Mwalimu (Prof.).

Hizo title kwasasa hazina thamani yoyote ile, hii ni baada ya jamii kutoona matokeo chanya yanayoletwa na mtu kuwa na hizo title.
 
Pesa inanyoosha kila kitu
Hakunaga cheti cha tajiri/masikini; hela ni 'tool' tu, inatumika katika kubadilishana huduma, wewe unatoa hela ili upewe bidhaa au huduma. kwa hiyo hela haikupi heshima yoyote zaidi ya kuwa huru katika kupata bidhaa/huduma.​
 
Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo?

Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza thamani ya majina yetu.

Kama mpaka umri huu, bado unatumia majina yaleyale uliyopewa na wazazi, na hujayaongezea thamani kwa kuanza na jina Dr au Prof. utaonekana bado ni mtu wa kizamani, wa karne iliyopita.

Kama tunaongezea thamani kwa kitu kilicho chakaa, ni muhimu pia kuongeza thamani ya jina lako lililochakaa.

Ingawa kuna changamoto ya kufikia hiyo thamani ya majina, wengine wanaamua kujiongezea thamani ya majina mfano mwinjilist, mchungaji, CP nini n.k

Lakini, ni muhimu kutambua, thamani ya majina yako duniani, yataongezwa na haya maneno mawili tu, Dr au Prof. Hizo zingine huwa ni mbwembwe tu.

Twendeni darasani​
Hujamsikia yule jamaa amesoma sana. Wakati anaenda kusoma wenzie wanaingia front kwenye biashara karikoo. Ametoka huko amemaliza maPHD. Amerudi amekuta dunia imebadirika,kile alichosomea miaka yote hakihitajiki. Maprofesa wengi wanakufa wakiwa hawana chochote zaidi ya elimu kichwani
 
Thamani yako huongezeka pale ambapo maisha yako yamechangia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii na sio kuwa na Permanent Head Damage (PhD) ama kuwa Mwalimu (Prof.).

Hizo title kwasasa hazina thamani yoyote ile, hii ni baada ya jamii kutoona matokeo chanya yanayoletwa na mtu kuwa na hizo title.
Kuna kuipa thamani jina lako na kujipa thamani katika kutambulika kwako (legacy), hivyo ni vitu viwili tofauti.​
 
Hujamsikia yule jamaa amesoma sana. Wakati anaenda kusoma wenzie wanaingia front kwenye biashara karikoo. Ametoka huko amemaliza maPHD. Amerudi amekuta dunia imebadirika,kile alichosomea miaka yote hakihitajiki. Maprofesa wengi wanakufa wakiwa hawana chochote zaidi ya elimu kichwani
Kuna vitu 2, kutafuta elimu na kutafuta maisha; ukijikita zaidi kwenye kimojawapo, lazima kingine ukipoteze.

Muhimu uweze kubalansi, uende navyo vyote kwa kiasi.​
 
Siendi mnanishushia heshima,,

Matemba, ungekuwa na heshima ungekuja na hela hapa mwangilie mtoto wa ma frrrreeediiii hapo chukuq mfano

Kalete hizo bia mm nina kiu aseeh babanguuuu
Unasema nini tumaa? Utaka wadogo zako waende dukani na wametoka daslamu jana tu, wewe nilini ulituma pesa ya nyama hata jumapili moja , ebu toa upumbafu wako hapa ngikukaba na kireta
 
Zenye muhimu ni mbili tu duniani, Dr/Prof.
Kila binadamu ana umuhimu wake kwenye sehemu yake,Dr akiharibikiwa Gari,anaweza akatengenezewa gari lake na kijana wa darasa la 7 mwenye ujuzi wake,kwenye ofisi yako,Dada wa usafi nae ana play part yake,

Itafute thamani yako kwa jinsi unavyoishi na jamii inayo kuzunguka na mchango wako kwenye jamii hiyo,

Jina ni identity tu and has nothing kukufanya wewe uonekane wa maana zaidi kuliko wengine,thamani ya mtu au heshima ya mtu haijengwi kwa jina lake,

Wake up and Live.
 
Kuna vitu viwili unachanganya; kuipa thamani jina na kutambulika katika kutoa huduma.

Kuipa thamani jina, ndio hiyo (Dr, Prof)

Kutambulika katika kutoa huduma kutokana na ujuzi wako; uwe fundi, daktari wa kutibu, dereva, injinia, mhasibu, muuza genge n.k​
 
Itakua wewe ndio umesha sahau kua umeleta mada ya aina gani,

Jina halibadili chochote,jina ni identity tu,

Hivi leo hii Range Rover uziite vits halafu Vits uziite Range Rover,unafikiri ubora wa gari hizo utabadilika kisa tu zimebadilishwa jina?
 
Back
Top Bottom