Tuongeze thamani ya majina yetu

Tuongeze thamani ya majina yetu

Sio maamuzi ya mtu binafsi, lina mchakato wake ndio maana walio wengi hawalifikii na kukimbilia zile za kuheshimishwa ambazo hazina nguvu.​
Hakikisheni hiyo thamani ya majina yenu iendane na ukubwa wa wallet zenu tu, acha sisi wengine tuendelee kuitwa mzee fulani au baba fulani, inatosha sana!
 
Hizo Dr/Prof title hazina tija maana unaweza jipachika au kununua, inabidi utafute title ya Tajiri.

Mfano Tajiri Jerry001 . Hapo utaheshimika, hata kanisani au msikitini utakaa siti ya mbele kabisa.
 
Hivi una nini lakini Ina maana majina tuliyopewa na wazazi yamechakaa kweli 😅😅😅
Unatakiwa uwaheshimishe wazazi wako kwa kuliongezea thamani. Au unataka ufe na jina hilohilo la Matata, waliokupatia wazazi?
 
Mmmmh, hii kali.. hizo ni professional identity tu sidhani kama ndio huongeza thamani ya jina la mtu kuliko wengine. Tatizo nchi za Africa tuna ulimbukeni wa elimu na titles. Wenzetu unaweza kukuta mtu ana PhD lakini hatumii kabisa hiyo Dr au prof. Thamani ya jina lako itatokana na matendo unayofanya au unavyoishi na wengine, hata Mr. au Mrs. zinaweza kukuongezea thamani kubwa tu.
 
Hizo Dr/Prof title hazina tija maana unaweza jipachika au kununua, inabidi utafute title ya Tajiri.

Mfano Tajiri Jerry001 . Hapo utaheshimika, hata kanisani au msikitini utakaa siti ya mbele kabisa.
Hizo za kununua hazina nguvu, ata ukiwa nayo unakuwa hujiamini kwa sababau unakuwa huna machapisho ya kitaalamu.
 
Mmmmh, hii kali.. hizo ni professional identity tu sidhani kama ndio huongeza thamani ya jina la mtu kuliko wengine. Tatizo nchi za Africa tuna ulimbukeni wa elimu na titles. Wenzetu unaweza kukuta mtu ana PhD lakini hatumii kabisa hiyo Dr au prof. Thamani ya jina lako itatokana na matendo unayofanya au unavyoishi na wengine, hata Mr. au Mrs. zinaweza kukuongezea thamani kubwa tu.
Hizo Mr & Mrs, ata dakika 5 ni nyingi unaweza kuzipata; ni muhimu liwezekanalo lisikupite.
 
Back
Top Bottom