Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,121
- 114,154
šngoja nikinunua furijii nitatuma picha
šngoja nikinunua furijii nitatuma picha
Naleta na udongoškuna malimao tu
šFriji langu haligandishi...nisije nikafungua nikasutwa bure
udongo sili lete na maembe mabichiNaleta na udongoš
Umepats hiyo, sema na lingineudongo sili lete na maembe mabichi
kijikitimotošUmepats hiyo, sema na lingine
Ni wewe tukijikitimotoš
Ngoja nipite sokoni nizaje vitu ndio nipige picha.Piga picha na utuonyeshe kwenye friji yako umeweka nini?
Here we go!!View attachment 3118805
aya bana naona mmeamua kuturingishia leo
Basil Seeds zina faida zipi kiafya
Hayo matango ni hatari Kwa ustawi wa familia
Safi, afya kwanza, hatutaki uzee mbaya.
Mzee wa mbogmboga
Umeamua kutuonesha garden sista.
Mbona matango mengiš¤£š¤£š¤£š¤£
Utapigwa vidoleUna vidole vizur mkuu.. kama mtoto wa kike naomba nifahamishe nije pm mapemaaaa.