Seif Kazige Mbambizi
Senior Member
- May 7, 2016
- 135
- 92
Ndugu zangu watanzania, wakati umefika tunyoshe mikono yetu tumuombe mungu awape hekima zaidi hawa viongozi wetu. Kwasababu kiongozi au viongozi wanapo kosa hekima ni sawa na kuwa na gari ambalo halina mafuta halafu unategemea usafiri nalo kwenda sehemu ambayo hujawahi kufika. Haliwezi kukufikisha popote katika safari yako wala kuwa na msaada wowote, kwa lugha ya malkia unaweza kusema gari hilo ni useless.