ukiuliza sana ukambiwa acha kuulizauliza, utapigwa tu, nami nasema upigwe tu....pole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
ndugu umeniumiza mbavu kwa kicheko.ukiuliza sana ukambiwa acha kuulizauliza, utapigwa tu, nami nasema upigwe tu....
Unafahamu vyema cheo cha waziri mkuu? Ukiacha Rais na makamu wake PM anatunzwa na serikali mpaka siku ya mwisho. Na hizo STL ikizeeka kidogo anapewa mpyaaaaa. So, acha wivu wa kike dogo. Ni haki yake kikatibapole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
Mtu mwenye bodaboda amepoteza maisha hapohapo....inasemekana kijana huyo mwenye bodaboda alikuwa anakatiza barabara ndipo alipokutana na gari likiwa mwendo kasi. gari la mke wa pinda limehalibika upande wa mbele.
Hakuna aliyepoteza maisha mdogo bali mtu mmoja amekufa na wengine wa4 wamejeruhiwa kama habari inavyojielezaVipi mkuu hakuna aliyepoteza maisha?
Vipi mkuu hakuna aliyepoteza maisha?
Naona ushabugia viroba asubuhi yote hii,poleKuna Paka Tu Alikuwa Anakatisha Ndiyo Aliyekufa Pekee.
Naona ushabugia viroba asubuhi yote hii,pole
umekufa wewe kiwaviSasa Ulitaka Niseme Umekufa Wewe?
umekufa wewe kiwavi
Uwe mtusi au mrundi haijalishiWewe Umeshaona Mnyarwanda Wa Kitutsi Anakufa Hovyo Hovyo au Kizembezembe?
Uwe mtusi au mrundi haijalishi
Walamutse!Usinichefue Tafadhali Na Tena Ukome Kuniita Mimi Mrundi Wa Kutoka Nchini Burundi Ambako Kumejaa Wahutu Wengi Waliotuua Watutsi Bila Huruma. Na Hiyo Burundi Huko Kwa Warundi Hakutakuwa Na Amani Hadi Watuombe Radhi / Msamaha Sisi Wanyarwanda Na Hasa Wa Kabila Langu Lililobarikiwa La Kitutsi.