Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

kwa mwendo wa hovyo wa dereva na upitaji wake magari na jinsi alivyotupita kwenye kibao cha 50.na hata ajali kapata kwenye 50kph niwe muwazi nilitamani angekufa tu yule dereva.ule udereva wa misafara na ving'ora anauleta bila kuangalia speed za alama.anatembea speed za kipumbavu angekufa tu.pole yangu kwa mama pinda nawale wawili wengine lakini si kwa dereva
Aisee hebu punguza gadhabu...ni Baba wa watu naye anafamilia inamtegemea kama kosa alishafanya na hakuna pa kurekebisha!msamehe bure
 
Mwendo wa 50 km/h huwekwa zile sehemu za makazi ya watu.
 
Hiyo ajali ilikuwaje?? Get well soon mama Tunu
 
Mtu mwenye bodaboda amepoteza maisha hapohapo....inasemekana kijana huyo mwenye bodaboda alikuwa anakatiza barabara ndipo alipokutana na gari likiwa mwendo kasi. gari la mke wa pinda limehalibika upande wa mbele.
Imetokea maeneo gani??
 
Mke wa waziri mkuu mstaafu Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro, akitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam. Amepata majeraha na anaendelea na matibabu.

Tunamuombea nafuu ya haraka mama Wapigwe tu!
 
Unawaambia watu wapigwe tu.

Hao watu unadhani watakusemeaje unapopatwa janga kama hili???

Huwa tunalewa sana madaraka na kutaka misifa isiyo na manufaa yoyote.

Mi nasema WAPATE AJALI TU.
 
Mmhh..! Poleni wote.
Ila mama ungeenda pumzika tu Katavi.
 
Aisee hebu punguza gadhabu...ni Baba wa watu naye anafamilia inamtegemea kama kosa alishafanya na hakuna pa kurekebisha!msamehe bure
ndugu kama ungeona kama mimi hata pole usingempa.zile speed za kipumbavu kabisa
 
Mwendo wa 50 km/h huwekwa zile sehemu za makazi ya watu.
unajua ajali ilipotokea?.mi ni dereva pale ni 50 kmh na alikuwa analipita basi na mbele kuna mizani mita kama 500.acha kumtetea
 
unajua ajali ilipotokea?.mi ni dereva pale ni 50 kmh na alikuwa analipita basi na mbele kuna mizani mita kama 500.acha kumtetea
Simtetei ila nilikuwa nakuunga mkono. Madereva wengi hasa wenye magari ya gharama hawazingatii speed limit.
 
Back
Top Bottom