Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

Pole mama Tunu Pinda. nakutakia uponaji wa haraka.
 
pole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
 
pole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
ukiuliza sana ukambiwa acha kuulizauliza, utapigwa tu, nami nasema upigwe tu....
 
jamani majeruhi ni wanne na na marehemu ni mmoja yule dereva wa pikipiki ila humu ndani tunampa pole mama pinda kwani hawa wengine sio watu? polenu familia ya dereva wa pikipiki
 
Tunaishi kwa Neema tu ya Mungu,kikubwa ni kukaa umejiandaa kila wakati kwa maana ''kuishi ni KRISTO na kufa ni FAIDA''!Maana hakuna mwenye guarantee ya kuishi milele hapa duniani na mbaya zaidi hata majira na njia ni fumbo kwetu!POLENI MAJERUHI WOTE na R.I.P kwa marehemu huyo,AMINA!
 
pole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
Unafahamu vyema cheo cha waziri mkuu? Ukiacha Rais na makamu wake PM anatunzwa na serikali mpaka siku ya mwisho. Na hizo STL ikizeeka kidogo anapewa mpyaaaaa. So, acha wivu wa kike dogo. Ni haki yake kikatiba
Mtu mwenye bodaboda amepoteza maisha hapohapo....inasemekana kijana huyo mwenye bodaboda alikuwa anakatiza barabara ndipo alipokutana na gari likiwa mwendo kasi. gari la mke wa pinda limehalibika upande wa mbele.
 
Uwe mtusi au mrundi haijalishi

Usinichefue Tafadhali Na Tena Ukome Kuniita Mimi Mrundi Wa Kutoka Nchini Burundi Ambako Kumejaa Wahutu Wengi Waliotuua Watutsi Bila Huruma. Na Hiyo Burundi Huko Kwa Warundi Hakutakuwa Na Amani Hadi Watuombe Radhi / Msamaha Sisi Wanyarwanda Na Hasa Wa Kabila Langu Lililobarikiwa La Kitutsi.
 
Walamutse!
 
hv ina maana hadi mke wa waziri mkuu mstaafu ana mlinzi wa serikali au?!
 
Vipi mzee wa kulialia hajamwaga chozi hapo? Au alikuwa anafanyaga hivyo kwa mambo ya politiki tu?
 
Back
Top Bottom