Tunnel Guru...!!!

kuna hypothesis nilitengeneza kuwa hawa jamaa hawatumii band ya 2100mhz ambayo ndio common bali wanatumia band nyengine ie 850mhz hivyo kusababisha simu za bei ya chini na modem kushindwa kufanya kazi.

hii kero! mkuu c6 alitumia vp? Then kuna tyme kwenye cmu inaandka tritel badala ya BOL then naanza kupata hisia za mambo ya roaming yale
 
hii kero! mkuu c6 alitumia vp? Then kuna tyme kwenye cmu inaandka tritel badala ya BOL then naanza kupata hisia za mambo ya roaming yale

yah jamaa wana roam hio sio siri kwenye simu yangu inaonesha kabisa.
 

Dogo wewe unachokioengea haukijui siku nakusoma tu unajisifia hapa mitandao miwili mitandao miwili
Sasa mpaka unaanza kuni-dis....
Siku tumepata hizi ssettings uliwalilia watu PM wakuunganishe na kwakua mm ndo nilikua kama admin wa kile kikundi waliponiuliza unataka kuungwa nikawambia huyo dogo SNITCH mtemeni chini

Sasa ngoja tuone uguru wako wa ki-IT
 
Njunwa wa mavoco Pm yangu hujaiona kaka???..
 
Last edited by a moderator:
aiseee kaka natumia http lkn speed ndogo sanaaa ,,,,what should i do?????
 

We mjinga Wamavoko sasa unalingia kidubwana cha waasia kupata access wakati ulimkandia jamaa hapo juu kuwa hakuna kauchochoro tukaamua kula kimya we kujua tu kuwafyonza Airtel tayari umeripuka na screen zako uchwara KRAPKA DAvINOOO
 
Last edited by a moderator:
We mjinga Wamavoko sasa unalingia kidubwana cha waasia kupata access wakati ulimkandia jamaa hapo juu kuwa hakuna kauchochoro tukaamua kula kimya we kujua tu kuwafyonza Airtel tayari umeripuka na screen zako uchwara KRAPKA DAvINOOO

Hahahaha!Umekurupuka kaka sometimes hapa Jf bora usome hata thread imeanzishwa lini vingine utaonekana #mjinga zaidi....

Inaonesha hiyo kitu imekuuma sana we #------ na #------ - wengine humu JF...

Mara ohhh! najidai sasa nijidai nn we jamaa kwanza mnafiki kama sio #snitch kule awali ulimkandia ukabu kwamba atasababisha ajari na ukamsihi ale kimya kimya sasa leo hii unaniona mm najidai... hahahaha!Kajipange tena brother
 
Last edited by a moderator:
duh. sijui niseme pengine tatizo ni ajira. maana watu wanatafuta pesa za haraka haraka.......... mi nshachoka na mambo hizi
 

Tushawasoma hawa kina DEVUQUARTER-DEVUKOTA kazi kupayuka na kujijaza misifa tu wakati hamna kitu.
 
Last edited by a moderator:
Tushawasoma hawa watu wa kupenda misifa tu wakati hamna kitu.

Inaonekana Injection tool imewauma sana mpaka nashangaa watu wanaanza kunitukana, huyu si wa kwanza mpaka nashindwa kuelewa sababu kuna mwingine alishaleta dharau kama hizi...yaani haiwezekani from no where umuite mtu #mjinga !
 
Jamani jukwaa hili sikuhizi limekuwaje? Watu nikupigana vijembe..!!!!!!!
Mwl.rct uko wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…