donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,132
Salaam wakuu,
kwanza kabisa i want to say thanks to the people i owe mpaka nimefanikisha kuconfigure TG and am now back online after shifting from PD Proxy. Sema issue inayonitatiza wakuu ni speed ya kobe, sijui ni servers ninazotumia au ni vp ila sometimes speed inakua slow sana tena usiombe kwenye torrent client kitu hadi 30Kbs mpaka inakera. Halafu kuna ka alert kanatokea sometimes kanachosema tanzanian tg users from now onwards should use VPN over HTTP. hapo imekaaje wakuu? shukrani.
shukrani kaka, wala usiogope mi nafata ushauri siku zote wa more techncs as far as ni kitu ambacho am not so friendly withMkuu donlucchese
sikuhauri kutumia VPN hata kidogo kwa sababu mbili za msingi
kwanza utasababisha TCP port ziwe blocked maana zitaanza kutapakaa mtaani
pili ina-reconnect/colapse SANA tena SANA
Ila ukitakuona nakubania utamu basi soma chini na wewe uonje
1.Kwenye keyboard yako+R
Kuna window itafunguka we Type CMD afu OK
2.Type ipconfig kwenye Command Prompt
3.Itafute IPv4/IP adress ya PC yako
4.Copy Ipv4 yako pembeni
5.Start HTTP tunnel kwa server yoyote e.g Canada Mpaka iseme succesfully connected
6.Navigate VPN tunnel afu jaza Rport yetu na lport yetu na sehemu ya IPv4 jaza afu Port tumia 6055 kwa ajili ya torrenting kuwa accepted
server mm natumia Canada5 TCP sababu HTTP natumia server ya canada pia
hapo start mpaka iseme succesfull
c.c nxon kejof2,Shaffin Simbamwene,Nanomyte etc
BROUGHT TO YOU BY CERTIFIED VPN RESELLER TANZANIA SINCE 2012
hamna kaka, hata sijamention ni basi gani natumia so ni ngumu kidogo kusannukia!Kwangu mimi spidi mzuka tena mia mia,ila nishaanza kupata wasiwasi sijui kama hata mwezi tutamaliza na hii trick,umemwaga mtama kwenye kuku wengi.
haya mkuu tatizo hawa unauthorized reseller ndo wanashida na watu wanaoenda kuwauzia wengine hata sio wa kupewa info wanapeleka tu kichwa kichwa kisa tamaa ya helahamna kaka, hata sijamention ni basi gani natumia so ni ngumu kidogo kusannukia!
inabidi tu kuwaambia kaka!haya mkuu tatizo hawa unauthorized reseller ndo wanashida na watu wanaoenda kuwauzia wengine hata sio wa kupewa info wanapeleka tu kichwa kichwa kisa tamaa ya hela
haya mkuu tatizo hawa unauthorized reseller ndo wanashida na watu wanaoenda kuwauzia wengine hata sio wa kupewa info wanapeleka tu kichwa kichwa kisa tamaa ya hela
Njia aliyotoa njunwa wamavoko siyo mbaya ila ile ya Mwl.RCT ndiyo bora zaidi hata kwa wale wa xp sp3 ambayo ina IPV6 badala ya IPV4
mm nikiweka localhost/127.0.0.1 inakataa na ikiconnect ina colapse inanambia "error bla bla bad network orr invalid login"
mm sikujua ka XP zina ipv4 asante kaka
naoa kama unamwaga mtama kwenye kuku wengi mtafute resseler wako chemba akusaidie ikiwa hapatikani njoo chembaToka jana jioni hii mambo imenigomea kabisa upande wa HTTP, kila nikijaribu napata "error:No HTTP connection using given port (6052):-Only TG port ...........(listed) will not work. You can try again". Nimejaribu list ya port zote,majibu hayohayo, nimebadili servers bado hamna kitu.
inabidi tu kuwaambia kaka!
naoa kama unamwaga mtama kwenye kuku wengi mtafute resseler wako chemba akusaidie ikiwa hapatikani njoo chemba
Mwisho wa Tunnel Guru ulikuwa jana kutumia line ya Zantel, tafuteni maujanja mengine