[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Tungo tata zisizo turufu hatari kama garasa ktk kaya isiyo ekaya.nelechani, chani wa kunyumba washangilia kwa kunyoosha na kuvuna ujinga wa mk ke twe.
Ni utuvu wa habar usiopimika hata kwa kijiti kwenye mitima ya viroho vya wasioshiba na utuvu wa habar za bunuwasi wa ekaya, zilizo michosho ktk matumbo sikizi ya walioamini matumaini safar yetu.
NJIA IENDAYO KUZIMU NI PANA KWA IYO TUNAFANYA KUJIACHIA KWA KUWA TUNAENDA KUUNGUA KAMA MOTO WA VICIOUS UTAKUWA MKALI.
[emoji115] [emoji116] [emoji102] [emoji144] [emoji15] [emoji40] [emoji115] [emoji116]Fasihi bhana inatabuzake, mkanganyiko WA machinga WA mwanza na wenyebusara kama wendawazim ndo umeleta tungo yote hii,du we mkali kweli
Umeanza vizuriii mwishoni umemalizia na kile kinaitwa UCHOCHE.......
Unashangaa uliandika ili utoe macho[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji102] [emoji102] [emoji102]