Tungeishi vipi Duniani kama kusingekuwa na Kifo?

Tungeishi vipi Duniani kama kusingekuwa na Kifo?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Ebu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo?

Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani.

Ukatwe kichwa, wakupige mpaka uchakae, ugongwe na gari, ulipuliwe na bomu, upigwe risasi lakini hakuna kifo unajiunda na kujirudi upya.

Je, ugaidi ungekuwepo kweli? Wakujitoa muhanga wangekuwepo kweli?

Je, duniani tungekuwa tunaishi vipi?

CC Zero IQ
 
Kuna viumbe ni Immortal kama Jelly Fish, hawafi hawa samaki kama wasipokutana na visababishi kama kutolewa majini. Ila wanaweza kuuawa.

So logic ni kwamba kama tungekua immortal tusingekufa kama tungeishi kwa amani na kuweka mazingira yatuzungukayo ila kama mtu akiplan kuua anaweza kuua.
 
Nadhani hata akili ya kuua isingekwepo
Kuna viumbe ni Immortal mama Jelly Fish, hawafi hawa samaki kama wasipokutana na visababishi kama kutolewa majini. Ila wanaweza kuuawa...So logic ni kwamba kama tungekua immortal tusingekufa kama tungeishi kwa amani na kuweka mazingira yatuzungukayo ila kama mtu akiplan kuua anaweza kuua.
 
Hapa sijakuelewa kaka, kwamba hawafi halafu tena wanaweza kuuwawa hii ina maana gani?

Watu walijuaje kama hao samaki hawafi? Maana suala la kufa linategemeana na muda.
 
Hiyo milele ya mbinguni ya kuimba, kusifu na kusujudu 24/7 utaiweza?
Kwahiyo duniani watu waimbe na kusifu na kusujudu na peponi pia kazi iwe ni hiyo hiyo, aisee hii dini gani inafundisha mafundisho haya ambayo hata akili inakataa?

Sasa wema watalipwa nini huko peponi na kwanini waendelee kuleta mchezo wa kuimba imba?

Ufafanuzi tafadhali.
 
Ufafanuzi tafadhali.
Dunia unayoishi wewe kifo ni kitu cha kawaida na hutokea muda wowote sehemu yoyote na chanzo chochote. Dunia ya 3 Dimension ndio hiyo unayofunga au kuukata mti ukidhani haupatwi na hisia wala huna maumivu.

Kwenye dunia zenye dimension nyingine ndio kifo kitatokea kwa sababu ya msingi au huwa mfumo wa kujiboresha kiumbe husika na urudi pia au uhama dimension.

3 Dimension world ndio hapo unaiona nyumba au jengo fulani, ilhali hiyo sehemu kwenye dunia zenye dimension tofauti kuna kitu tofauti hapo.

Je! Umewahi kuona mlango ukijifungua?
 
Kwenye dunia zenye dimension nyingine ndio kifo kitatokea kwa sababu ya msingi au huwa mfumo wa kujiboresha kiumbe husika na urudi pia au uhama dimension.
Hizi ziko wapi ni uhalisia au za kufikirika ? Kuna mtu yupo katika dunia hizi ?
Je! Umewahi kuona mlango ukijifungua?
Sijawahi kaka mkubwa.
 
Back
Top Bottom