Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,360 Reaction score 11,588 May 11, 2023 #61 Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,267 Reaction score 118,537 May 11, 2023 #62 Tafuta hela ili uwajue na ndugu zako ambao hua hawaji kwako.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 May 11, 2023 #63 Tafuta Hela uache kutunza Nguo kwaajili ya 'Mitoko' au matukio maalumu.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 May 11, 2023 #64 Tafuta hela infinix, tecno na itel ni simu za kuwasiliana na watu wa huduma kwa wateja peke yake.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 May 11, 2023 #65 Tafuta hela ili uache kushangilia umeme ukirudi baada ya kukatika.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 May 11, 2023 #66 Tafuta hela ili uache kumuita binadamu mwenzako "boss/tajiri"
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,424 Reaction score 17,069 May 11, 2023 #67 Tafuta hela crown, majesta, nissan fuga, nissan v8 hutalalamika zinatumia mafuta mengi
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,424 Reaction score 17,069 May 11, 2023 #68 Tafuta hela usionekane msumbufu kwenye vikao vya familia
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 May 11, 2023 #69 Tafuta hela, Serena hotel chakula ni bei chee sana.
Decibel Senior Member Joined Nov 30, 2019 Posts 176 Reaction score 322 May 11, 2023 #70 Huu uzi huu[emoji114]
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,155 Reaction score 95,876 May 11, 2023 #71 1. Tafuta hela huna ndugu wachache. 2. Tafuta Hela mwanamke hakai mbali na simu. 3. Tafuta pesa bando ya siku siyo ya kutumia mwezi. 4. Tafuta pesa uache kulala na mtungi wa gesi chumba kimoja. 5.Tafuta pesa mwanamke hachoki usiku.
1. Tafuta hela huna ndugu wachache. 2. Tafuta Hela mwanamke hakai mbali na simu. 3. Tafuta pesa bando ya siku siyo ya kutumia mwezi. 4. Tafuta pesa uache kulala na mtungi wa gesi chumba kimoja. 5.Tafuta pesa mwanamke hachoki usiku.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,281 Reaction score 133,883 May 11, 2023 #72 Melki the Storyteller said: Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili Click to expand... Hahaha... Kwamba akiona mpunga anakusaidia kazi😁
Melki the Storyteller said: Tafuta hela, hakuna mwanamke ambaye hafikishwi kileleni kwa tako mbili Click to expand... Hahaha... Kwamba akiona mpunga anakusaidia kazi😁
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 54,335 Reaction score 101,445 May 11, 2023 #73 Tafuta hela ila ujue kabisa haujazipoteza popote pale.
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,125 Reaction score 7,551 May 11, 2023 #74 Tafuta hela tajiri hana dhambi Tafuta hela hakuna mwanaume mfupi
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,267 Reaction score 118,537 May 11, 2023 #75 Tafuta hela ushikiwe mwamvuli unapotembea.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,377 Reaction score 13,444 May 15, 2023 #76 Tafuta hela safarini hawachimbi dawa vichakani
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 4,152 Reaction score 7,727 May 15, 2023 #77 Tafuta hela upunguze kutongoza.
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 4,152 Reaction score 7,727 May 15, 2023 #78 Tafuta hela uache kununua vitu used
M Mohamedex121 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2022 Posts 1,734 Reaction score 3,310 May 15, 2023 #79 Tafuta hela wikiend sio siku ya kufua
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,224 Reaction score 16,908 May 15, 2023 #80 tafuta hela weekend sio siku za kufua nguo