Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tafuta hela, mjini kumiliki gari sio lazima. Indrive na uber zimejaa 🤭
 
Tafuta Hela upigiwe simu Utafutwe kwenye simu, Tafuta Hela uheshimiwe,Tafuta Hela upate confidence, Tafuta Hela ule unachotaka na sio kinachopatikana
 
Tafuta Hela na katika kutafuta Bora kukata kiuno kuliko kukata tamaaa..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]
 
Tafuta hela, pilau sio chakula cha sikukuu tu
Tafuta pesa Malaya akale kuku.

Hii kauli utaikuta kwa wabeba ZEGE site na wale mafundi wa nguzo za tanesco (jamàa hawa wana nyimbo nyingi za matusi)

Parental advisory explicit content
 
Tafuta Hela hakuna masikini jeuri ni makasiriko tu.

Tafuta Hela hakuna mwenye Hela akanuniwa na ndugu.

Tafuta Hela mapenzi yanakuja yenyewe.
 
mafundi Tanesco wana matusi sijawahi ona mpinzani wao
Wanatukana matusi bila aibu hapo uwakute wanapandisha nguzo hayo matusi yanayoshuka sasa mpaka nguzo iwekwe kwenye shimo,
 
Back
Top Bottom