Tune to TBC1 Umuone JK kwenye Mdahalo

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Leo muda huu Jk yuko live TBC1 akitwangwa maswali na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali anajibu maswali vizuri lakini kwa kigugumizi chake kwa lugha ya kiingereza siokoti kitu.
 
  • Thanks
Reactions: KRT
Leo Jk yuko live TBC1 akitwangwa maswali na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali anajibu maswali vizuri lakini kwa kigugumizi chake kwa lugha ya kiingereza siokoti kitu.
Mkuu, labda ungesema "muda huu"(time?)........'leo' ni kubwa ati!
BTW tunashukuru kwa taarifa!...Ngoja niende chumba cha jirani nikachungulie!
 
mmmmmmmhhh kwani hapa kwetu kuna wawekezaji?MMMMMMmhhhh nilikuwa sijui?:director::director::director:
 
vp ameanza kushuka ngeli...... ila siku hizi anatembea na mwalimu pembeni, hata salma yuko fiti siku hizi tofauti na mwanzo wa u-1st lady
 
Mkuu, labda ungesema "muda huu"(time?)........'leo' ni kubwa ati!
BTW tunashukuru kwa taarifa!...Ngoja niende chumba cha jirani nikachungulie!

Sawa Kaka nimekusoma! ni muda huu wa saa 11:30am!
 
Acheni kumkebehi kiongozi Wa taifa mbona Wa Burundi alikuwa anaongea na stantence error kibao MZee kibaki kimyaaaa. JK did well he is running the show
 
Leo muda huu Jk yuko live TBC1 akitwangwa maswali na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali anajibu maswali vizuri lakini kwa kigugumizi chake kwa lugha ya kiingereza siokoti kitu.

Tujuze jinsi anavyochapa kikwerenglish maana yupo fiti kimtindo plus kigugumizi cha makusudi
 
Nimeipa Ndalo tuko pamoja, hapa hatuna Rais, Wanamuulina maswali mawili mawili sijui atajibuje.
 
Rais anaongea vizuri na kwenye ukweli tuukubali.
*nkurunzinza anapasua vizuri zaidi english ukizingatia yeye ni franconero.
*huyu muhindi amezuia kikwete asijibu swali muhumu toka kwa dada simba(sio yule wa uwt)
*muhindi amewekwa kwenye kikao hiki nyeti kwa maslahi ya wawekezaji wa kihindi ndani ya east africa na ndio maana amezuia swali lililohusu serikali kuwajali zaidi wawekezaji wa nje huku wazawa wakibanwa zaidi kupenya na kupewa kipaumbele.
 
Wewe uliyeanzisha mada, ngeli yako iko vipi?? Hebu leteni mambo yenye tija kwa taifa hili. Kugugumizi kitoke wapi wakati alikuwa foreign minister for ten years? Tafuta hoja nyingine na siyo hii
 
kaongea nini cha maana.. wengine hatujawahi kusikia kasema chochote cha maana
 
Yeye ni Mkwele, kiingereza lugha ya tatu. Jamani kiingereza anakifahamu vizuri ila tatizo la baadhi ya watu wanataka mtu akiwemo JK aongee kiingereza kama mmarekani au mwingereza.
kwanim kuna watu Wanaigeria , wajapani, wachina, wahispania, wajerumani, warusi n.k wengi kiingereza chao mbona kibovu tu,
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wewe uliyeanzisha mada, ngeli yako iko vipi?? Hebu leteni mambo yenye tija kwa taifa hili. Kugugumizi kitoke wapi wakati alikuwa foreign minister for ten years? Tafuta hoja nyingine na siyo hii

Alikua forein minister for ten years si alikua anajirusha tu waliokua wanafanya kazi wengine kabisa wacha ushamba wewe!
 
Acheni kumkebehi kiongozi Wa taifa mbona Wa Burundi alikuwa anaongea na stantence error kibao MZee kibaki kimyaaaa. JK did well he is running the the show

Kwani babako akitembea uchi si unamstua?? au unamwacha majirani wote waone mkonge? Mkulu asipende kumulikwa na camera bila kubrash kichwa chake, aongeze elimu make he is laging behind academically. cku hizi watu wanajitambulisha kwa masters au Phd, kama huna hujitamblish bana!
 
Alikua forein minister for ten years si alikua anajirusha tu waliokua wanafanya kazi wengine kabisa wacha ushamba wewe!
MNyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyo Mkwele kwa kizungu yuko vizuri tuu, labda atie madoido. Foreign Ministry aliimudu vizuri ndio maana anazo contact kibao abroad, zingine za lifisadi!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom