mchome haki
Senior Member
- Jun 18, 2017
- 129
- 58
Wanajuwa kiama Chao hiyo 20/20Heheheh kwani wanaogopa nn ccm? Kwanini wanakua waoga kiasi hicho
Nguvu za chadema hazipo katika viongozi wake. Nguvu za chadema ziko kwa sisi wafuasi wake, tuko wengi wa kutosha kabisa ila sijui tatizo ninini.Tatizo upinzani nao wamekuwa butu Butuu inatakiwa iwe jiwe kwa jiweeee wakipiga huku na wao wanagonga kulee chamsingi wafate taratibuu msigwa apige siasa Arusha sugu apige Dar yan mixer mixer afu wakiwapeleka mahakaman kwamba wamefanya mikutano majimbo yasiyo yao mahakama itaonyesha nisheria na kifungu gani katika katiba kilichovunjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapovu yanakububujika kwasababu ya vitambaa tu kupepea.Safi Toa uchafu wote
Hatuja mwaga damu
libendera lina Rangi nyekundu la nini!
Uko nchi gani?Wanashoiaa sanaaa me nakwambia wangeweka presha kubwa walaa wasingekuwa wanapelekeshwa namnaa hiyoo wafate utaratibu Kama wanasheria mbonaa wanao inashindikana ninii
...Sasa sijui kama Polithi watazishusha BENDERA kwenye mioyo hii..,....mioyo ya watanzania imegoma wao wanalazimisha
Jana Dc amesababisha wajomba na kaka zake Juliana nshonza wanalala juu ya miti kama kunguru kwasababu wanalazimishwa na DC huyo kujiunga na mgambo, leo tena CCM kupitia huyo mkuu anapambana matambara ya benderaNaomba kulifahamu jina la huyo mkuu wa mkoa , ni vema tukamfahamu kwa faida ya vizazi vijavyo .
Nilipopata taarifa ile jana nilicheka sana ! Yule ni miongoni mwa madc bomu kabisa tangu uhuru , hata ukimuangalia usoni sidhani kama yuko timamu !Jana Dc amesababisha wajomba na kaka zake Juliana nshonza wanalala juu ya miti kama kunguru kwasababu wanalazimishwa na DC huyo kujiunga na mgambo, leo tena CCM kupitia huyo mkuu anapambana matambara ya bendera