Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

Tatizo upinzani nao wamekuwa butu Butuu inatakiwa iwe jiwe kwa jiweeee wakipiga huku na wao wanagonga kulee chamsingi wafate taratibuu msigwa apige siasa Arusha sugu apige Dar yan mixer mixer afu wakiwapeleka mahakaman kwamba wamefanya mikutano majimbo yasiyo yao mahakama itaonyesha nisheria na kifungu gani katika katiba kilichovunjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za chadema hazipo katika viongozi wake. Nguvu za chadema ziko kwa sisi wafuasi wake, tuko wengi wa kutosha kabisa ila sijui tatizo ninini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nafikiri huu ndo wakati sasa wa vyama vyote vya upinzani kuungana pamoja na kwa nguvu moja kupaza sauti zao kwa kila hali na mali kuulaani vitendo hv wanavyo fanyiwa na hawa jamaa maana bila hivyo tutafika pabaya zaidi ya hapa na mpka itafika wakati wananchi tutagopa na kura zetu cyo ccm au ukawa mtu ataona nibora atafute ugali wa watoto wake tu kuliko kupoteza muda wake bure halafu kesho mambo yanakuwa kama hv inaboa sana kiukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b7.jpg


Huku kwa Mtogole tunapandisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C.C.M
the best political party of all time in Tanzania.

I real love C.C.M political party.
 
Naomba kulifahamu jina la huyo mkuu wa mkoa , ni vema tukamfahamu kwa faida ya vizazi vijavyo .
Jana Dc amesababisha wajomba na kaka zake Juliana nshonza wanalala juu ya miti kama kunguru kwasababu wanalazimishwa na DC huyo kujiunga na mgambo, leo tena CCM kupitia huyo mkuu anapambana matambara ya bendera
 
Jana Dc amesababisha wajomba na kaka zake Juliana nshonza wanalala juu ya miti kama kunguru kwasababu wanalazimishwa na DC huyo kujiunga na mgambo, leo tena CCM kupitia huyo mkuu anapambana matambara ya bendera
Nilipopata taarifa ile jana nilicheka sana ! Yule ni miongoni mwa madc bomu kabisa tangu uhuru , hata ukimuangalia usoni sidhani kama yuko timamu !
 
Back
Top Bottom