Tundu Lissu: Wanaosema nahamasisha maandamano nikiwa Ubeligji,Hivi kwani mimi napenda kuwa huku, nilifikaje huku?

Kama ww hautokuwepo, basi wahimize viongozi wengine wa chama na familia zao wawepo kweny maandamano ili kuongeza nguvu kwa waandamanaji. Haiwezekani mimi dudumizi niandamane nile virungu vya polisi, nivunjwe mguu, na kufunguliwa kesi afu watu kama watoto wa Mbowe, Sugu, mch Msigwa, Mnyika na familia zao wakae nyumban kwao wanatuangalia tu kwenye TV na kukimbilia kulaumu polisi kupitia twita na JF.
Yeye anasomeshewa watoto Marekani, hata akifa leo wanaye watasoma hadi vyuo vikuu; kisha baada ya muda watarudi hapa kuajiriwa taasisi za kimataifa zinazolipa mishahara mikubwa au kufanya kazi nje ya nchi, wewe ukiwa rumande tu wanao hawaendi shule.
 
Yeye anasomeshewa watoto Marekani, hata akifa leo wanaye watasoma hadi vyuo vikuu; kisha baada ya muda watarudi hapa kuajiriwa taasisi za kimataifa zinazolipa mishahara mikubwa au kufanya kazi nje ya nchi, wewe ukiwa rumande tu wanao hawaendi shule.
Fuata ulicho acha geti la kijani
 
Mbona tamko hilo unatoa wewe na sio serikali?
Aliondoka nchini akiwa katika mikono ya ubalozi wa Ujerumani, kama yuko salama kurudi serikali itoe tamko hilo
Kwani wakati wa Kampeni alipokuja tamko lilitolewa na nani? 😁
 
Inaonesha huna shule wewe ni bendera fuata upepo. Kwanza hujui ni nini kinatafutwa na njia ya kukitafuta.
Nina hakika nakuzidi shule.
Wewe ndiye bendera, duniani kote viongozi ndioo wanaongoza maandamano sio kukaa kwenye key boards na kudanganya wajinga waandamane. Bob Wine, Raila nj wote hao hawasakazii waguasi wao bali huwa nao bega kwa bega.
 
Upumbavu mtupu! Kama hii iliyopo haifuatwi, hiyo mpya itakuwa na jeshi la polisi lipi la kuhakikisha inafuatwa, achilia mbali nani wa kuiandaa ikawa kama mpendavyo
Utakuta na ww umefika mpk chuo kikuu
 
Yeye anasomeshewa watoto Marekani, hata akifa leo wanaye watasoma hadi vyuo vikuu; kisha baada ya muda watarudi hapa kuajiriwa taasisi za kimataifa zinazolipa mishahara mikubwa au kufanya kazi nje ya nchi, wewe ukiwa rumande tu wanao hawaendi shule.
Ndo maana wengi tumeshtuka. Safari hii wataandamana viongozi wa chama tu na familia zao, sisi wanachama makini hatutii mguu barabarani.
 
Bra bra vipi waambie basi viongozi wenzako ambao wapo Tanzania waingie barabarani.
Utawafanya nini ?! Huwezi kuwala nyama. Hatari kubwa kama nyoka unamuua binaadamu kwa sumu huku huwezi kumla !!.

Huyo alieanza kupoteza watu yuko wapi ?!. 6f under Ritz
 
Viazi kama nyie ndiyo msingi wa ccm fvck yon

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mimi naongea na mwanaum mwenzang afu ww choko unavamia. Look... jamaa pamoj na kupigania haki za mashoga lkn sio mtumiaji kabisa wa viboga, kwahiyo kujipendekeza kwako hakuwezi kumfanya yeye aje akumege mkvndv wee..
 
Mimi nadhani ni vyema Lissu akibaki huko aliko maana kama atarudi na kuwekwa ndani chama chake kitapata matatizo. Ni kama ANC walivyoamua kuwaacha wakina Thabo Mbeki nje ya Afrika Kusini. Akirudi itakuwa a huge strategic mistake.

Amandla...
 
Yeye alikimbia Ulaya kunusuru uhai wake wengine waingie lodi waumizwe,hii ndo Africa.
 
Viazi kama nyie ndiyo msingi wa ccm fvck yon
Jamaa kasema kweli, hao kina Msigwa, wewe na Lissu familia zenu zitakuwa kwenye luninga kuangalia jamaa anavyovunjwa kiuno.

Mara nyingi viongozi huwanzisha maandamano alafu juu kwa juu wanadrop na kusepa.
 
Yaani sisi tuingie road, tuvunjwe miguu, tugombane na ndugu na marafiki wa vyama vingine ili mshikaji awe rais😂😂.. Hivi hiyo ni akili kweli? tupigane tupoteze uhai ili wewe uliyejificha na familia yako tukishaumia uingie Ikulu na ulinzi juu. Kama unataka urais ingia wewe mtaani na familia yako. Na sisi huku mtaani tutapigania tunayoyataka. Ingekuwa dingi yangu ndo anagombea uraisi ningeshaingia road..ila akili na busara za kuumizwa ili mtu nisiyemjua aingie Ikulu hizo sina kabisa.
Na wanasiasa ni walewale tu, wote ni waigizaji nguli.
 
Back
Top Bottom