Tundu Lissu: Wanaosema nahamasisha maandamano nikiwa Ubeligji,Hivi kwani mimi napenda kuwa huku, nilifikaje huku?

12APOSTLES

New Member
Jul 29, 2021
3
45
Kama ww hautokuwepo, basi wahimize viongozi wengine wa chama na familia zao wawepo kweny maandamano ili kuongeza nguvu kwa waandamanaji. Haiwezekani mimi dudumizi niandamane nile virungu vya polisi, nivunjwe mguu, na kufunguliwa kesi afu watu kama watoto wa Mbowe, Sugu, mch Msigwa, Mnyika na familia zao wakae nyumban kwao wanatuangalia tu kwenye TV na kukimbilia kulaumu polisi kupitia twita na JF.
Kwani police wana moyo was chuma,Hawaogopi nguvu ya UMMA?
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,226
2,000
Kwani police wana moyo was chuma,Hawaogopi nguvu ya UMMA?
Ndio maana nasema maandamano haya yasiwe ya umma wa walala hoi peke yao, bali inahitajika ushirikiano wa viongozi wa chama. Sio viongozi wa chama ambao wangekuwa mfano kwa waandamanaji wanabaki majumban kwao kuwaangalia walala hoi peke yao wakipambana na polisi na kupelekea kupata vilema vya kudumu, kufungwa nk. Afu uchaguzi ukifika hawa wakaa ndan kipindi cha maandamano ndio wawe wa kwanza kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea ubunge.
 
Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,106
2,000
Magufuri aliyetaka kumuua alisha kufa,sasa anaogopa nini kuja kuendeleza mapambano?Hapo kumbe Lissu alikuwa anamsingizia tu Magufuri kuwa ndiye alikuwa mbaya wake,sasa Magufuri hayupo Lissu rudi uendeleze mapambano acha ,tulisema humu kuwa chadema ilijengwa na Slaa tukatukanwa sana,tukasema ni suala la mda tu, Sasahivi akuna mwenye uchungu na chama,Makamu Mwenyekiti yuko Uberigiji ana twitter eti watu waingie barabarani,huku yeye akiwa kwenye mvinyo na mitungo ya nyama 😁😁😁😃

Duh
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,226
2,000
Kama ww hautokuwepo, basi wahimize viongozi wengine wa chama na familia zao wawepo kweny maandamano ili kuongeza nguvu kwa waandamanaji. Haiwezekani mimi dudumizi niandamane nile virungu vya polisi, nivunjwe mguu, na kufunguliwa kesi afu watu kama watoto wa Mbowe, Sugu, mch Msigwa, Mnyika na familia zao wakae nyumban kwao wanatuangalia tu kwenye TV na kukimbilia kulaumu polisi kupitia twita na JF.
Kama nilivyosema, jamaa hawakutoka kabisa majumbani kwao. Sasa hivi jicho kideoni kuangalia kichapo walichopata nyumbu wao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom