Tundu Lissu: Wakili wa Osin Mbaraka

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Jamani kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa mh. Tundu Lissu ameitwa na familia ya aliyekuwa rais wa Misri kuwa wakili wa rais huyo wa zamani wa Mumbaraka, naombeni mwenye uhakika atuwekee hapa nasi tufunguke ufahamu. Nawasilisha
 
ni upepo tu utapita...hawezi kwenda misri ..halafu osin ndo nani?
 
habari hii ina utata
kesi inasikizwa misri na sii mahakama ya kimataifa lugha yao kiarabu
Tundu anakijua? sio rahisi,i totally disagree
 
Hivi hako kajitu kanaijuwa sheria, kana piga piga kelele bungeni, nakumbuka siku moja kalikuwa kanajidai kupiga kelele za kisheria, akasimama Mzee wa Vijisenti, akamtoa "knock out" ya maneno yasiyozidi kumi. Kimya, akaufyata hana la kujibu zaidi ya mwenyewe kukiri "nakuheshimu".

Hivi nyie mnafikiri kupiga kelele zisizo na mpango ndio kujuwa ukifanyacho?
 
Muulize Ole Sendeka.
 
Tatizo lako inawezekana ulisoma lakini haukuelimika au haukwenda shule ipasavyo ndio maana umejawa na ushadadiaji na negative attitude kwa kila jambo na kushindwa ku appriciate hata kwa vile vinavyostahili!sijui hata kama unajitambua!tatizo kubwa sana ili
 
Kanaijua sheria aisee, kalisaidia sirikali kushinda ile kesi ya 'City water' international case. Pia Bungeni kanamsumbua sana Werema kwenye vifungu hadi siku hizi anakubaliana nae(Lisu) kila anapotaka kurekebishwa kwa vifungu.
 
habari hii ina utata
kesi inasikizwa misri na sii mahakama ya kimataifa lugha yao kiarabu
Tundu anakijua? sio rahisi,i totally disagree

katika ulimwengu huu lugha sio issue tena kuna vifaa vinatafsiri pia kuna wakalimani labda kuwe na tatizo lingine sio unaona hata UN mataifa mataifa yote wanakutana lakini wanaelewana!
 
Hivi hako kajitu kanaijuwa sheria, kana piga piga kelele bungeni, nakumbuka siku moja kalikuwa kanajidai kupiga kelele za kisheria, akasimama Mzee wa Vijisenti, akamtoa "knock out" ya maneno yasiyozidi kumi. Kimya, akaufyata hana la kujibu zaidi ya mwenyewe kukiri "nakuheshimu".

Hivi nyie mnafikiri kupiga kelele zisizo na mpango ndio kujuwa ukifanyacho?

Rejao kumbe una ID kumi-kumi...
 
Tunaishi kwa tetesi kila siku,hata maisha yetu yamekuwa ya tetesi kila muda na haishangazi kuona tunazidi kuwaza sana kuhusu tetesi kuliko hali halisi.
Haiingii akilini mtu kusikia tetesi na unaiulizia bila kufanya utafiti maana tetesi nyingine hazina kichwa wala miguu kama hii hapa tunayoijadili.
 
hakuna jipya kwani hilo ni gwiji la international law especially kwenye international crimes
 
Kanaijua sheria aisee, kalisaidia sirikali kushinda ile kesi ya 'City water' international case. Pia Bungeni kanamsumbua sana Werema kwenye vifungu hadi siku hizi anakubaliana nae(Lisu) kila anapotaka kurekebishwa kwa vifungu.

Sasa hivi Werema anatumia ile kanuni ya if you cant defeat the join them. Waulize mahakimu watakwambia Tundu ni wa aina gani. Watu wanapandisha mashetani mbele ya Tundu.
 
Back
Top Bottom