pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
ndicho kimemfanya atolewe tumia kichwa kuwaza!So formulaic.
After the fact, you trash him.
Why didn’t you [trash him] before the fact?
Sour grapes 🍇.
ndicho kimemfanya atolewe tumia kichwa kuwaza!So formulaic.
After the fact, you trash him.
Why didn’t you [trash him] before the fact?
Sour grapes 🍇.
Dah, natamani wale watu watoe tena data za World's IQ Rating tuone safari hii kama hatutakua mkiani kabisa.Chadema nzima kuna PhD tatu tu na sasa zimebaki mbili ulitegemea muujiza gani labda mwenyekiti angekuwa Baregu.
A/c ya ruzuku iko Arusha kwa mwenye chama ulitaka Dr Mashinji atendeje?.......Wachangaji wenyewe ndio hao kina Gekui na Waitara wamekimbia......mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bwashee!
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Lilikuwa kosa la kuleta vyama vya upinzani mapema hapa nchini, wakati bado kujitambua kwetu sio kamili.
Mambo yanayoendelea katika siasa zetu yanastaajabisha kabisa.
Yaani unakuta mwanasiasa mpaka anastaafu keshapiga tripu kwenye vyama vitatu na kote huko anapata nafasi. ( Mfano Maalim Seif, CCM, CUF na sasa ACT)
Nashindwa kuelewa inakuwaje mwanasiasa wanabadili itikadi zaidi ya mara tatu na bado wanaaminika kwa wananchi.
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Mkuu Dr Slaa aliondoka kwa presha na chuki kubwa sana , aliuacha Ukatibu Mkuu , mbona Haikuleta athari yoyote kubwa , ndio awe Mashinji ?Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?
Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?
Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
They did...So formulaic.
After the fact, you trash him.
Why didn’t you [trash him] before the fact?
Sour grapes 🍇.
Kuna upotoshaji mkubwa kama vyama vimekatazwa kufanya siasa kilichokatazwa sio siasa ila ni mikutano ya umma ambayo inahusisha kila mtu hata yule ambaye sio mwanachama. Mikutano kama hiyo inafanyika wakati wa kampeni tu na si wakati mwingine. Huwezi kuwa na chama kimoja kinaongoza nchi na vingine vinapiga kapeni, huwezi kuwa na usawa katika siasa kama wengine wanaongoza nchi na wengine wanafanya kampeni.
Kama unafikiri mlio wafukuza ndio "Mercenaries" je waliobaki wao sio "Mercenaries"?
ana rundo la vyeti na kanunuliwa kama dagaa wa mafunguHuyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
They did...
Mungu mtu kisha wapa Neno la munguMbowe amehojiwa jana na Clouds FM kipindi cha Jahazi. Amesema very clear Kuwa wahuni wote wanajulikana. Hata ambao wapo kwenye negotiations wanajulikana. Lakini kama chama hawatawafukuza. Watashughulika nao kwa akili na mwishowe watajitoa wenyewe. Wakianza kufukuzwa watapata public sympathy watakapoanza kulia lia wamefukuzwa na hivyo kuondoa ajenda muhimu ya chana kwa sasa. Kwaiyo wanaofika bei wanajulikana, waliofika bei wanajulikana. Mbowe akamalizia kwa kusema Chadema ipo imara kuliko nyakati zote zile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba Dr. Mashinji alifanya kazi na watu wenye uelewa na darasa dogo - mwenyekiti na katibu msaidizi wake hawana hata kadigree ka kwanza! Wewe utafanya nao kazi vipi? - You will always be out of phase of each other! It is not his fault. Alionekana slow maana boss wake elimu ndogo, hivyo Mashinji alikuwa anavutwa kusudi waende pamoja na boss wake!
Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?
Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?
Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaondoa Mashinji unaweka Mnyika hiyo matope au utelezi?
When they dropped him from the officeWhen did that happen?
Uongozi ukibadilika mikakati inabadilika na mfumo unabadilika. Kwahiyo taarifa alizokua nazo ni outdated sababu Mnyika na entire crew mpya wamekuja na informants,channels,strategies na watendaji wapya kabisa so Mashinji hana analojua kuhusu uelekeo wa chama uchaguzi mkuu.Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?
Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?
Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
When they dropped him from the office
Wewe ni shabiki wa nje tu hujuwi yanayotokea ndani ya chama, visiki vya yule anayejiita mwamba. Wengi wanalalamika chini chini, hata Lissu ana malalamiko yake, alikuja mpaka Kenya akataka kukiwasha wakaenda kumpoza. Uwongo ukweli ?Visiki gani? alitaka kugeuzaje chama? kiweje kwa mfano? amekuambia? acha ungese...
Mawazo yanapaswa kuheshimiwa japo point lessLilikuwa kosa la kuleta vyama vya upinzani mapema hapa nchini, wakati bado kujitambua kwetu sio kamili.