Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Kama matusi na kejeli yangekuwa sera, Chadema mgekubalika kila kona. Leo hii mmeshasahau Lowassa alikuja na maburungutu ya fedha na akapitishwa kwa kura za kunyanyua mikono juu. Mmeshasahau Dr. Slaa aliyejenga hoja karibu zote bungeni na kukifanya chama kikubalike nje ya ngome yake ya kaskazini. Chadema kilikuwa ni chama cha wafanyabiashara na matajiri, masikini hakuwa na nafasi kwenye chama. Leo hii hata huko kaskazini kuanza kupuputika.

Hakuna mtu hata mmoja aliyetoka Chadema iwe kwa hiyari yake au kwa kufukuzwa anajutia huo uamuzi. Nashukuru Nyalandu amejitahidi kubadili lugha inayotumiwa na viongozi wa Chadema wa sasa, ni tofauti sana na ilivyokuwa miaka michache iliyopita ya nguvu nyingi kuliko akili. Tatizo ni nyinyi ambao bado mna elements za kizamani.
Tunapowaambia nyie ni wajinga muwe mnaelewa? Nani amekwambia mimi ni Chadema? nani amekwambia ninachokiandika mimi ni cha Chadema? Huu wako hauwezi kuwa ni ujinga? Unaweza kuthibitisha kuwa Lowasa alipitishwa Chadema kwa kutoa mabulungutu? Huu wako tena hauwezi kuwa ujinga na uroporopo? Unadhihirisha ujinga pia kujaribu kuonyesha ni Dk Slaa pekee yake aliyeing'arisha Chadema. Bungeni wakati huo, kama ulikuwa hujaanza kufuatilia bunge, hoja zilijengwa na akina Zitto, hoja zilijengwa na akina Mnyika, hoja ziliendelea kujengwa na akina Halima Mdee, hoja zilijenmgwa na akina Lisu na hoja zilijengwa na akina Lema. Unamjua Wenje wewe?

Ni kaskazini ipi ambako Chadema imepukutika? Au mauzo ya Meya wa Arusha ndio yameongeza ujima kichwani mwako? Nyie ndo mnapokea propaganda rahisi za manunuzi ya madiwani na wabunge, umeona wananchi wanaombatana na hao wasaka tonge? kwa taarifa yako wao wewenyewe wanaponunuliwa wanawaogopa wananchi, hawana ujasiri wa kuwashawishi..kalaghabaho!
 
Meko kila uchwao anaiba tu,miaka 4 kaiba kuliko awamu mbili zilizopita ni balaa,ccm ukoo wa panya
Nitajie muadilifu mmoja tu hapo Ufipa acha kurukaruka bwashee!
IMG_20200220_092535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • tapatalk_1582113385627.jpeg
    tapatalk_1582113385627.jpeg
    61.5 KB · Views: 1
Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye

Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Kwa hoja zipi unazosema kama kila wanapoandaa mikutano barua zao zinajibiwa intelenjia imegundua kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani au kuna ujenzi jirani na eneo linalofanyika mkutano wakati Smallsmall aka Polepole na Bashiru wanafanya mikutano wanavyotaka (hizo hoja unazosema watazitoa wapi wakati mikutano mnawaletea figisu)
 
Tunapowaambia nyie ni wajinga muwe mnaelewa? Nani amekwambia mimi ni Chadema? nani amekwambia ninachokiandika mimi ni cha Chadema? Huu wako hauwezi kuwa ni ujinga? Unaweza kuthibitisha kuwa Lowasa alipitishwa Chadema kwa kutoa mabulungutu? Huu wako tena hauwezi kuwa ujinga na uroporopo? Unadhihirisha ujinga pia kujaribu kuonyesha ni Dk Slaa pekee yake aliyeing'arisha Chadema. Bungeni wakati huo, kama ulikuwa hujaanza kufuatilia bunge, hoja zilijengwa na akina Zitto, hoja zilijengwa na akina Mnyika, hoja ziliendelea kujengwa na akina Halima Mdee, hoja zilijenmgwa na akina Lisu na hoja zilijengwa na akina Lema. Unamjua Wenje wewe?

Ni kaskazini ipi ambako Chadema imepukutika? Au mauzo ya Meya wa Arusha ndio yameongeza ujima kichwani mwako? Nyie ndo mnapokea propaganda rahisi za manunuzi ya madiwani na wabunge, umeona wananchi wanaombatana na hao wasaka tonge? kwa taarifa yako wao wewenyewe wanaponunuliwa wanawaogopa wananchi, hawana ujasiri wa kuwashawishi..kalaghabaho!
Sasa kama wewe sio Chadema, unajitapa nini kama unaijuwa Chadema nje ndani. Ukisema ngome ya kaskazini ya Chadema haijapuputika, wewe umejuwaje?

Usitumie nguvu nyingi kuficha ukweli, Lowassa hakumwaga pesa Chadema tu, hata CCM alimwaga pesa nyingi lakini haikuzaa matunda. Tunaweza mpaka kukupa kiasi alichotumia Chadema mpaka AKATEULIWA na sio KUCHAGULIWA kuwa mgombea wa Chadena kwa njia ya kuhesabu mikono ya wajumbe. Na hili la kuteuliwa nalo utabisha.

Hivi wewe wakati Dr Slaa anaunguruma bungeni, hao kina Lissu, Mnyika, Lema nk walikuwa bungeni? Wakati Dr Alaa anaunguruma bungeni hao kina Zitto, Mdee walikuwa wanajuwa hata jinsi ya kuwasilisha muswada binafsi bungeni? Kwanini unamvunjia mzee wa watu heshima ambapo amekibeba chama mpaka akafika kuwa mgombea urais na kupata 27% ya kura za urais. Tena hao kina Lema, Manyika, Sugu, Msigwa nk wanajua mchango wa Dr. Slaa na wanauheshimu.

Subiri Nov. 2020 utuletee mrejesho kama kaskazini bado ni ngome imara kwa Chadema.
 
Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye

Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Kwani hujui ccm siyo chama cha siasa tena? Ccm ilishajifia zamani sana, kwa sasa ccm ni dola kwa mgongo wa chama cha siasa. Nitajie nani aliyetimamu aliye ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna huyo wenu ana mpaka PhD lakini umeona anavyo behave, achana na kujua lugha tu angalia alivyovuruga kila sehemu
Ukweli ni kwamba Dr. Mashinji alifanya kazi na watu wenye uelewa na darasa dogo - mwenyekiti na katibu msaidizi wake hawana hata kadigree ka kwanza! Wewe utafanya nao kazi vipi? - You will always be out of phase of each other! It is not his fault. Alionekana slow maana boss wake elimu ndogo, hivyo Mashinji alikuwa anavutwa kusudi waende pamoja na boss wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PhD zina issue gani, jiwe ana PhD lakini kuongea kwa lugha aliyopatia PhD Ni vituko. Cdm hawaangalii PhD wanaangalia uwezo. Kama PhD zingekuwa na maana Mashinji angefanya la maana. PhD zinatakiwa ccm maana huko hawaangalii uwezo kwakuwa vyombo vya dola vinawabeba.
Inferiority complex asingefanya lolote mbele ya middle yaani darasa la kati la nursery
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom