Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

Chadema nzima kuna PhD tatu tu na sasa zimebaki mbili ulitegemea muujiza gani labda mwenyekiti angekuwa Baregu.

A/c ya ruzuku iko Arusha kwa mwenye chama ulitaka Dr Mashinji atendeje?.......Wachangaji wenyewe ndio hao kina Gekui na Waitara wamekimbia......mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bwashee!
Dah, natamani wale watu watoe tena data za World's IQ Rating tuone safari hii kama hatutakua mkiani kabisa.
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!

Ni kweli malengo makuu ilkuwa ni kuikata kanda ya ziwa lakini alishindwa na hakuwa na ujasiri wala mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lilikuwa kosa la kuleta vyama vya upinzani mapema hapa nchini, wakati bado kujitambua kwetu sio kamili.

Mambo yanayoendelea katika siasa zetu yanastaajabisha kabisa.

Yaani unakuta mwanasiasa mpaka anastaafu keshapiga tripu kwenye vyama vitatu na kote huko anapata nafasi. ( Mfano Maalim Seif, CCM, CUF na sasa ACT)

Nashindwa kuelewa inakuwaje mwanasiasa wanabadili itikadi zaidi ya mara tatu na bado wanaaminika kwa wananchi.

Ww unasema vyama vya siasa vilikuja mapema, wakati sisi tunaona tulipata uhuru mapema. Kama isingekuwa uhuru haya mabogus kama kina jiwe wangepata wapi madaraka?
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!

Una uhakika Mwenyekiti alitoa ruhusa.
 
Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?

Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?

Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dr Slaa aliondoka kwa presha na chuki kubwa sana , aliuacha Ukatibu Mkuu , mbona Haikuleta athari yoyote kubwa , ndio awe Mashinji ?
 
Kuna upotoshaji mkubwa kama vyama vimekatazwa kufanya siasa kilichokatazwa sio siasa ila ni mikutano ya umma ambayo inahusisha kila mtu hata yule ambaye sio mwanachama. Mikutano kama hiyo inafanyika wakati wa kampeni tu na si wakati mwingine. Huwezi kuwa na chama kimoja kinaongoza nchi na vingine vinapiga kapeni, huwezi kuwa na usawa katika siasa kama wengine wanaongoza nchi na wengine wanafanya kampeni.

Kama unafikiri mlio wafukuza ndio "Mercenaries" je waliobaki wao sio "Mercenaries"?

Unaongea utoto gani dogo? Mikutano ya umma tunawaona ccm kila siku wakifanya, au wao wakifanya sio mikutano ya umma? Ccm inafanya kampeni kila siku, au mlidhani mkifanya wenyewe mikutano kila siku ndio mtapata mvuto? Haya mmefanya wenyewe mikutano miaka mitano ili mpate mvuto lakini hamjapata zaidi ya kubaka chaguzi mbalimbali, na saa hii watu wamepuuza uchaguzi maana wanajua mtalazimisha kutangazwa washindi huku hamkubaliki.
 
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.

Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
ana rundo la vyeti na kanunuliwa kama dagaa wa mafungu
 
Mbowe amehojiwa jana na Clouds FM kipindi cha Jahazi. Amesema very clear Kuwa wahuni wote wanajulikana. Hata ambao wapo kwenye negotiations wanajulikana. Lakini kama chama hawatawafukuza. Watashughulika nao kwa akili na mwishowe watajitoa wenyewe. Wakianza kufukuzwa watapata public sympathy watakapoanza kulia lia wamefukuzwa na hivyo kuondoa ajenda muhimu ya chana kwa sasa. Kwaiyo wanaofika bei wanajulikana, waliofika bei wanajulikana. Mbowe akamalizia kwa kusema Chadema ipo imara kuliko nyakati zote zile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mtu kisha wapa Neno la mungu
Hapo Kibendera tayari
 
Ukweli ni kwamba Dr. Mashinji alifanya kazi na watu wenye uelewa na darasa dogo - mwenyekiti na katibu msaidizi wake hawana hata kadigree ka kwanza! Wewe utafanya nao kazi vipi? - You will always be out of phase of each other! It is not his fault. Alionekana slow maana boss wake elimu ndogo, hivyo Mashinji alikuwa anavutwa kusudi waende pamoja na boss wake!

Kwa hiyo mashinji hakwenda kufanya kazi bali alienda kulinganisha elimu yake na boss wake? Hoja ya kitoto ile mbaya. Huyo Mashinji alikuwa hata akienda kwenye media kuongea alikuwa anaongea hewa tu. Hakuwa na mvuto wowote, angebaki kufanya research na sio siasa. Huu mfano wako naufananisha na mcheza mpira mwenye degree aliyeshindwa kufunga magoli, kisha aseme kashindwa kufunga magoli maana kocha wake hana degree. Ni hivi, mashinji alikuwa domo zege kama boss wake Lowassa.
 
Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?

Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?

Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Cdm Ni chama cha kisiasa sio kikundi cha kigaidi kinachopanga kupindua nchi, sasa kuna mikakati gani ya kutisha ambayo Mashinji akiijua itakuwa na madhara? Sana alichokuwa anajua ni passwords ambazo watu watareset na kuendelea na mambo mengine.
 
Kwa hiyo Katibu Mkuu wa chama hakujua mipango yoyote nyeti ya chama?

Hakukaa katika vikao nyeti vya chama?

Alivyovuliwa Ukatibu Mkuu hapohapo akasahau yote aliyojua kama Katibu Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi ukibadilika mikakati inabadilika na mfumo unabadilika. Kwahiyo taarifa alizokua nazo ni outdated sababu Mnyika na entire crew mpya wamekuja na informants,channels,strategies na watendaji wapya kabisa so Mashinji hana analojua kuhusu uelekeo wa chama uchaguzi mkuu.

Na hii ni dunia nzima mkuu ukibadilishwa hata leo password na kila kitu vinabadilishwa kabisa ili usije kuwa threat baadae otherwise kina Zitto wangeimaliza CHADEMA wakati wa uchaguzi mkuu. Same to magufuli kapangua watu wengi sana wa awamu iliyopita huko kwenye system ili kuepuka kuhujumiwa na ''loose ends''.

Cc Titicomb
 
Visiki gani? alitaka kugeuzaje chama? kiweje kwa mfano? amekuambia? acha ungese...
Wewe ni shabiki wa nje tu hujuwi yanayotokea ndani ya chama, visiki vya yule anayejiita mwamba. Wengi wanalalamika chini chini, hata Lissu ana malalamiko yake, alikuja mpaka Kenya akataka kukiwasha wakaenda kumpoza. Uwongo ukweli ?
 
Lilikuwa kosa la kuleta vyama vya upinzani mapema hapa nchini, wakati bado kujitambua kwetu sio kamili.

Mambo yanayoendelea katika siasa zetu yanastaajabisha kabisa.

Yaani unakuta mwanasiasa mpaka anastaafu keshapiga tripu kwenye vyama vitatu na kote huko anapata nafasi. ( Mfano Maalim Seif, CCM, CUF na sasa ACT)

Nashindwa kuelewa inakuwaje mwanasiasa wanabadili itikadi zaidi ya mara tatu na bado wanaaminika kwa wananchi.
Mawazo yanapaswa kuheshimiwa japo point less

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom