KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 877
Wapigaji tu,hawana nia ya dhati kuwasaidia watanzaniaWao walitaka kupata kila kitu
kumbe wangepata tu hata Tume huru ya uchaguzi ingewasaidia....
Lakini @BAK,wako wapi hao watanzania mnaowatetea humu,mbona nchi iko kimya?!Wameridhika na hali ya mambo waacheni waendelee kula mlo mmoja kwa siku.
Wee unayepigania maandamano kwanini usiandamane na mkeo na wanao huko geto kwako,sio kila ujinga wakuungwa mkono wengne wanajenga nchi wee unataka kuandamana,nenda kaandamane muhimbili kuna vitanda vipyaBado katiba hii yenye viraka chungu nzima pamoja na ubaya wake inaruhusu maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani ambayo hakuna yoyote mwenye ruhusa ya kuwaamulia wapinzani nini kuzungumza kwenye mikutano yao na wapi pa kufanyia mikutano yao bila kujali kama wana mbunge kwenye jimbo husika au la. Na yeyote anayewazuia wapinzani kufanya hivyo anakiuka katiba ya nchi.
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Labda majibu anayo yule mzeee wa tume ya uchaguzi,maana ni kweli amshaamsha hizi dhidi ya upinzani awamu hii zimezidi mno.Labda ni zile kura mil 6 zinawakosesha watu usingizi,au kuna cha zaidi tusichojua?!Nchi kuwa kimya haimaanishi chochote Mkuu.
Watanzania wasiopenda kuona haya manyanyaso dhidi ya upinzani wanachukizwa sana na hali hii na kushangaa sana mbona awamu za nyuma wapinzani hawakudhibitiwa kiasi hiki!? Kulikoni awamu hii!? Magufuli anaogopa nini mpaka hataki kuheshimu katiba ya nchi!?
unayemsema kuheshimu katiba mbona hana hizo dalili, ila watz wanashingilia tu, nadhani ndo anaweza kuwa mkulu wa first kuchokwa, tuvute mda kidogo.Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Kwa ccm hata hiyo tume huru ya uchaguzi kuipata ni ngumu kwani wanajua kuwa ikiwepo tume huru ya uchaguzi ndio mwanzo wao kuondolewa madarakaniWao walitaka kupata kila kitu
kumbe wangepata tu hata Tume huru ya uchaguzi ingewasaidia....
Mawazo yako ni akili ya peke yako na umeyaandika bila ya ku digest.Tundu Lisu na wana Ukawa wenzake wangebaki bungeni katika bunge la Kenya au la akina Ndugai? "Kaa chini","wewe bwege"."askari mtoa huyu nje mara moja".Kwa amri hizi pamoja dharau,kejeli ,matusi ya nguoni kutoka kwa wabunge wa CCM ulitegemea wapinzani hoja wangezitolea wapi? Fikiri kwanza kabla ya kuandika utumbo.Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo.
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu.
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba' hata UKAWA ni kama alianzisha yeye na wengine wakamuunga mkono.
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge la katiba kwa 'faida' zingine hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote muhimu za Rasimu ya Warioba.
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu.
Hata Kenya now wametuacha Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS.
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri.
Wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii ilikuwa a big mistake.
Sasa haya ndio mavuno, tumerudi nyuma miaka 50.
Some opportunities never comes twice.
Hata hiyo katiba kwa ccm ingekuwa ni ngumu kuikubali katiba inayo wabana wangetumia wingi wao kuikataa kama walivyofanya huyu mtoa mada kakosa la kusemaNani anatuata katiba? Ingekanyagwa tu!