Wapi niliposema kuwa alikuwa mmoja wa mawakili wa serikali? Nilimaanisha walioshindwa kesi ya samaki ni wasomi wenzake wa sheria na sio aliyeshika mwizi.Kwa mfano mwizi kaja nyumbani kwako kwa nia ya kuiba ukamshika na majirani wakashuhudia. Hukuchukua sheria mkononi kama tunavyoaswa ukamfikisha mwizi wako kwenye vyombo vya sheria na vielezo tosha. Mwisho wa siku mwizi anaonekana hana hatia. Ninachojiuliza, aliyeshidwa kesi ni wewe uliemshika mwizi au muendesha mashtaka? (Ambae ni msomi kama akina Tundu?)Alikuwa ni moja ya wakili wa Serikali? au ajenge hoja gani? Tendea haki basi huo ubongo wako