Tundu Lissu, tunafanyaje juu ya Prof. Kabudi?

Prof.ni mpya bungenina style yake ya kuongea iliwafanya waendelee kumskiliza kwanza alijitahidi kudadavua vitu ambavyo ni facts ukiacha siasa kwa mbali kama kawaida tu alikuwa pia anatetea kiti.

Na wapinzani kumakiliza ni busara ili kumsoma na kujua namna ya kudeal nae,ukizingatia kuwa ile ndio ilikuwa mara ya kwanza kuongea bungeni.

Lisu angeanza kubishana nae ingeleta picha ya kukosa umakini,lakini akishazoeleka mambo yatabadrika tu,mbona hata mwanasheria mkuu aliwahi kuingia kwa mbwembwe hivyo hivyo.

Prof.style yake ya kutoa lecture bungeni,hii ni rahisi sana kuchokwa,wala haitachukua muda,"mgeni siku ya kwanza mpe wali nyama,siku ya pili mpe dona mlenda na jembe, shamba akalime"
 
Hivi prof. Muhongo aliishia wapi... Labda tuanzie hapa... Kabudi ni mdogo sana
Kwa CV kali,Prof S Muhongo ni moto wa kuotea mbali. Tatizo linakuja issue ya uhalisia dhid ya mambo ya nadharia,hapo lazima utabanwa tu.
 
  • Kwa kujenga hoja Tindu Lissu na upinzani kwa ujumla hawatoboi kwa Prof. Kabudi
  • Labda walete vurugu kama walizokuwa wakiwafanyia Prof. Muhongo na Tibaijuka enzi zile za bunge la awamu ya Jakaya Kiwete
CCM wanatoboa?

Ujinga mzigo.
 
Wazir yyte anaepewa dk 30 za kuongea lazima apewe glass za maji na alikunywa mara 3. Unaweza kuona ana ana majigambo lakin jiulize alijigamba nn pale
Prof Muhongo na Mtemi Chenge walikuwa wanatingisha kichwa cha dharau. Check ile clip
 
Niliwaona kwa kweli walikua hawajafurahia majigambo yake.
Mtu kama Prof. Muhongo akiamua ndani ya miaka miwili au mitatu anaweza kuwa mwanasheria nguli tena akiwa anasomea kitandani lakini Prof. Kabudi hawezi kuwa Engineer kirahisi.
Sheria ingekua imeandikwa na kufundishwa kwa kiswahili hata darasa la saba angekua mwanaaheria tu mahiri tena kwa kusomea nyumbani.
Hayo maneno ya kilatini na kingereza fasaha ndicho kinachowafanya watu wapige saluti.

Ni kawaida ya wanasheria kujigamba wakati kule sekondari wanaposoma kwa pamoja masomo ya jumla hawa ni wale watu wenye ufaulu wa kati. Ukishachuja wale Krim wa kupata mainjinia na madaktari wanaofuata huwa ni wanasheria ,wazee wa tai na suti.

Tunamshauri Prof. Kabudi aelekeze uwezo wake kwenye wakati uliopo na sio historia tu.
Historia ya katiba na bunge aliyoitoa inamsaidia vipi mtanzania anayetaka kuona uwazi na uwajibikaji wa serikali na pia uhuru,haki na uwazi wakati wa Uchaguzi?

Tunapenda kuona ni kwa vipi viongozi wa kisiasa nao wanatungiwa sheria ya kuwajibishwa kwa makosa wanayoyafanya wanapokua madarakani.

Tunapenda kuona wakurugenzi na wasimamizi wanaohatarisha amani ya nchi wakati wa uchaguzi kwa kubadili matokeo wanachukuliwa hatua punde tu mahakama inapotangaza kuwa uchaguzi ulivurugwa.
Na pia wanawajibishwa kwa kulisababishia taifa hasara kwa makusudi ,ili tujenga taifa lenye kusimamia haki kuanzia kwenye uchaguzi. Sio kuwaacha tu wanasiasa wanavunja sheria kwa kutumia ofisi za umma.

Tungefurahi kumwona Prof. Kabudi sasa akitekeleza kwa vitenda au akiishauri moja kwa Moja yale aliyokuwa akiyafundisha.
Jambo baya alikemee na jambo zuri alisifie kijiko akiite kijiko na chepeo libaki kama
Chepeo.
 
Salute
 
Sasa mkuu haihitaji muda huyo profesa atapwaya maana si kila kitu kitahitaji debate au lecture vitu vingine vinahitaji majibu ya moja kwa moja mfano ukisema sizonje amevunja katiba kufungia siasa zifanyike kwenye eneo ulilochaguliwa tu, hapo huwezi kuanza kuelezea kwamba mwaka 1945 siasa zilikatazwa maana hapo kuna katiba mbili tofauti...
 
Professa kabudi ni changamoto mpya kwa upinzani, changamoto mpya kwenye bunge na siasa za ushindani wa hoja kwa ujumla. Sio changamoto ya kupuuzwa, ni changamoto ya kutafutia suluhu na suluhu ipo. Mh. Tundu Antipas Lissu

Mpaka sasa, Tundu Lissu ameitendea haki nafasi ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Amejenga hoja zenye tija na ametoa miongozo muhimu sana katika kukijengea chama taswira ya heshima mbele ya jamii. Ila ujio wa profesa Kabudi unaleta shida kidogo....

Labda niseme, democrasia haiwezi kutambulika bila debate, yaani ushindani wa hoja. Profesa Kabudi hapaswi kuonekana anaoverwhelm upinzani. Ni kosa sana kimbinu kwa Lissu, kwasababu zozote zile kumuacha prof Kabudi atambe anavyota ndani ya bunge.

Kwenye siasa za ushindani wa hoja , mara zote debate ipo kazini. Mtu kama Kabudi anapoleta hoja unapaswa kumjibu. Kumuacha Kabudi afundishe bungeni kunaweza kuwa sawa japo ni kukubali kujitoa mapema kwenye siasa za ushindani wa hoja. Kumbuka siasa ni debate! Actually, kinachofanyika bungeni ni parliamentary debate .

Mimi najua Lissu ni mjengaji mzuri wa hoja japo naomba nimuongezee machache kwenye hii changamoto mpya ya ujio wa prof Kabudi.

1. Listen; watu wanaweza kunishangaa sana napokuomba usikilize. Na hii ni kwasababu wanajua huwaga unasikiliza. Ila kumshinda prof Kabudi kwa hoja unahitaji kumsikiliza kwa makini sana. In all his arguments, somewhere he will expose himself. Hii ni kawaida sana.
Kwa hao wana CCM wengine waliokuwa bungeni ilitosha tu kuwasikiliza kwa rasharasha na kusubiria wakati wako wa kujenga hoja.
Kwa kabudi mapungufu hayatakuwa mengi kiivyo, so you have to go for the details because everything he says, he has to be accountable for it.

2. Practice debate judo. Philosophia ya judo ni nzuri sana kama ukiitumia kwenye ushindani wa hoja. Kwenye judo kama mtu akikutupia pigo basi haumjibu hapo kwa papo. Ila unaongezea nguvu kidogo kwenye muelekeo wa nguvu zake ili kumuangusha.
Mfano; unaweza kukubaliana na hoja zake nyingi ila ukaja na hoja moja na kusema hudhani kama inaleta maana sana kisha hapo unaanza kujenga hoja zako.

Sisi wapenzi wa siasa za ushindani wa hoja tunafuatilia mtanange kati yako mheshimiwa Lissu na prof Kabudi kwa hisia kubwa sana. Tunaamini kama kawaida wapinzani tutashinda kwa hoja. Tutoe kimasomaso mheshimiwa Lissu.

BringBackBen
AMA kweli,hii ni serikali ya wajinga,serikali hii ya CCM ni aibu tupu
 
Hii ina mana kutengeneza vyeti Felki ni halali alimuradi usiwe mtumishi wa umma
 
Tundu Lissu anachoweza ni makelele tu, huwa sioni kama ni mjengaji mzuri wa hoja. Kwa upinzani, wabunge wanaojua kujenga hoja ni Mnyika na Zitto. Hawa wengine sioni. Msigwa yeye anajua kutoa quotes ambazo kimsingi yeye hazitumii katika maisha yake. Tunapokuja kwa issue ya Prof. Kabudi, nadhani Lissu atapwaya sana. Msingi wa makelele ya Lissu ilikuwa kuibua mambo ya kihistoria katika sheria, mfano issue ya hati za muungano n.k. Na hiyo alikuwa akiifanya kwa kusoma sana. Sasa Prof. Kabudi alikuwa mwalimu na amesoma sana mambo hayo. Kwa kifupi yapo kichwani. Sasa sidhani kama Lissu ataweza kujenga hoja ambayo Prof. Kabudi atakuwa haijui.
Kitakachompa shida sana Prof. Kabudi ni the fact that bungeni zinaongelewa real issues na sio nadharia, kwa mfano kuwafukuza watumishi wa umma kwa kufoji vyeti na kumuacha Bashite anapeta, prof anasema nini kuhusu 'a real' issue ya double standard kama hiyo.

Pia matumizi ya katiba on the part of the minister (Kairuki) kwamba wakuu wa mikoa wanalindwa na kifungu cha katiba ambacho kimsingi hakiwahusu wakuu wa mikoa et al, hapo unafikiri prof Kabudi atawezaje kuwa objective na professional katika hilo.

Kifupi ni kuwa kazi ya Prof. huyu ingekuwa rahisi sana kama angekuwa anatumikia serikali ethical kama Marekani, Uingereza, n.k, kwa serikali ya magumashi ni lazima shule itamgomea kabisa na mwisho wa siku itabidi aiweke pembeni kama Mwakyembe.
 
Professa kabudi ni changamoto mpya kwa upinzani, changamoto mpya kwenye bunge na siasa za ushindani wa hoja kwa ujumla. Sio changamoto ya kupuuzwa, ni changamoto ya kutafutia suluhu na suluhu ipo. Mh. Tundu Antipas Lissu

Mpaka sasa, Tundu Lissu ameitendea haki nafasi ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Amejenga hoja zenye tija na ametoa miongozo muhimu sana katika kukijengea chama taswira ya heshima mbele ya jamii. Ila ujio wa profesa Kabudi unaleta shida kidogo....

Labda niseme, democrasia haiwezi kutambulika bila debate, yaani ushindani wa hoja. Profesa Kabudi hapaswi kuonekana anaoverwhelm upinzani. Ni kosa sana kimbinu kwa Lissu, kwasababu zozote zile kumuacha prof Kabudi atambe anavyota ndani ya bunge.

Kwenye siasa za ushindani wa hoja , mara zote debate ipo kazini. Mtu kama Kabudi anapoleta hoja unapaswa kumjibu. Kumuacha Kabudi afundishe bungeni kunaweza kuwa sawa japo ni kukubali kujitoa mapema kwenye siasa za ushindani wa hoja. Kumbuka siasa ni debate! Actually, kinachofanyika bungeni ni parliamentary debate .

Mimi najua Lissu ni mjengaji mzuri wa hoja japo naomba nimuongezee machache kwenye hii changamoto mpya ya ujio wa prof Kabudi.

1. Listen; watu wanaweza kunishangaa sana napokuomba usikilize. Na hii ni kwasababu wanajua huwaga unasikiliza. Ila kumshinda prof Kabudi kwa hoja unahitaji kumsikiliza kwa makini sana. In all his arguments, somewhere he will expose himself. Hii ni kawaida sana.
Kwa hao wana CCM wengine waliokuwa bungeni ilitosha tu kuwasikiliza kwa rasharasha na kusubiria wakati wako wa kujenga hoja.
Kwa kabudi mapungufu hayatakuwa mengi kiivyo, so you have to go for the details because everything he says, he has to be accountable for it.

2. Practice debate judo. Philosophia ya judo ni nzuri sana kama ukiitumia kwenye ushindani wa hoja. Kwenye judo kama mtu akikutupia pigo basi haumjibu hapo kwa papo. Ila unaongezea nguvu kidogo kwenye muelekeo wa nguvu zake ili kumuangusha.
Mfano; unaweza kukubaliana na hoja zake nyingi ila ukaja na hoja moja na kusema hudhani kama inaleta maana sana kisha hapo unaanza kujenga hoja zako.

Sisi wapenzi wa siasa za ushindani wa hoja tunafuatilia mtanange kati yako mheshimiwa Lissu na prof Kabudi kwa hisia kubwa sana. Tunaamini kama kawaida wapinzani tutashinda kwa hoja. Tutoe kimasomaso mheshimiwa Lissu.

BringBackBen
Sasa utaka apigane naye!? Lissu mweupe sana, makelele tu, wacha apewe shule.
 
Naona darasa la dakika 29:18 limekuingia kisawasawa maana ulidhan lissu ataomba muongozo lakina ukashangaa nae anapiga meza,,ni hiv ukiwaza kushoto wengine wanawaza kulia so subiri ndio kwanza kabud kaanza baadae utamwamkia shikomooo
Tundu Lissu alikuwa anapigapiga meza tu, wakati prof Kabudi akimwaga darasa la sheria bungeni. Ile clip nimeirudia kuiangalia zaidi ya mara tatu.
 
Niliwaona kwa kweli walikua hawajafurahia majigambo yake.
Mtu kama Prof. Muhongo akiamua ndani ya miaka miwili au mitatu anaweza kuwa mwanasheria nguli tena akiwa anasomea kitandani lakini Prof. Kabudi hawezi kuwa Engineer kirahisi.
Sheria ingekua imeandikwa na kufundishwa kwa kiswahili hata darasa la saba angekua mwanaaheria tu mahiri tena kwa kusomea nyumbani.
Hayo maneno ya kilatini na kingereza fasaha ndicho kinachowafanya watu wapige saluti.

Ni kawaida ya wanasheria kujigamba wakati kule sekondari wanaposoma kwa pamoja masomo ya jumla hawa ni wale watu wenye ufaulu wa kati. Ukishachuja wale Krim wa kupata mainjinia na madaktari wanaofuata huwa ni wanasheria ,wazee wa tai na suti.

Tunamshauri Prof. Kabudi aelekeze uwezo wake kwenye wakati uliopo na sio historia tu.
Historia ya katiba na bunge aliyoitoa inamsaidia vipi mtanzania anayetaka kuona uwazi na uwajibikaji wa serikali na pia uhuru,haki na uwazi wakati wa Uchaguzi?

Tunapenda kuona ni kwa vipi viongozi wa kisiasa nao wanatungiwa sheria ya kuwajibishwa kwa makosa wanayoyafanya wanapokua madarakani.

Tunapenda kuona wakurugenzi na wasimamizi wanaohatarisha amani ya nchi wakati wa uchaguzi kwa kubadili matokeo wanachukuliwa hatua punde tu mahakama inapotangaza kuwa uchaguzi ulivurugwa.
Na pia wanawajibishwa kwa kulisababishia taifa hasara kwa makusudi ,ili tujenga taifa lenye kusimamia haki kuanzia kwenye uchaguzi. Sio kuwaacha tu wanasiasa wanavunja sheria kwa kutumia ofisi za umma.

Tungefurahi kumwona Prof. Kabudi sasa akitekeleza kwa vitenda au akiishauri moja kwa Moja yale aliyokuwa akiyafundisha.
Jambo baya alikemee na jambo zuri alisifie kijiko akiite kijiko na chepeo libaki kama
Chepeo.
I owe u nothing but respect
 
Kwenye midahalo bila kujali mada ilitayarishwa (prompt) au haikuandaliwa (impromptu) kuna suala la kukubaliana na hoja (crossing the floor).
Sio kila wakati lazima upinge kila mjadala hata kama una hoja dhaifu! Ni sawa na masumbwi. Mwalimu akiona mpiganaji wangu ataumizwa zaidi, hutupa taulo ulingoni. Unachojaribu kumwambia Lissu ni kwamba ajikaze kiume
Mimi nakushauri ujaribu kuwa mfuatiliaji wa Prof. Kabudi ili ikiwezekana uwe unamusaidia Lissu kujenga hoja. Inaweza ikafaa.
Jaribuni!
Kuwa Prof. Sio Tikect ya kujua kila kitu! Acheni utumwa wa fikra, anacho kijua juu ya sheria hata wengine wengi wanakijua,
 
Wachangiaji wengi wameliongea hili la prof. Kudhani yupo lecture hall anafundisha...ile ni siasa na usipo kuwa makini unapotea hata uwe na akili za aina gani pale, kwenye siasa haiitaji kuwa na elimu yoyote ile swala ni kujua kusoma na kuandika. Km Prof. Ataleta majigambo kama aliyo anzanayo atapotea kama maprof wenzake walio tangulia nadhani anatakiwa kujua kwenye siasa kuna uongo wingi kuliko ukweli....rejea hotuba ya Rais aliyo itoa UDOM
Hutakiwi kuwa na GPA ya 4.8 ila kuwa mwanasiasa bora hata kwetu tz, unatakiwa kujua ni uongo gani unafanana na ukweli na ni wapi pakuusemea.
 
Back
Top Bottom