Tundu Lissu, tunafanyaje juu ya Prof. Kabudi?

Tundu Lissu, tunafanyaje juu ya Prof. Kabudi?

Prof Muhongo na Mtemi Chenge walikuwa wanatingisha kichwa cha dharau. Check ile clip
Prof . Muhongo alikuwa ameinamisha kichwa kwa masikitiko nadhani alikubuka siku yake ya kwanza bungeni na alivyo sasa
 
Alikopotelea polepole na kabudi anaenda huko huko hakuna mtu mwenye akili timamu aliyekwenda kutetea chama dola akabaki na akili zake za kawaida, hiyo ya juzi ni kwa sababu ya ugeni kwenye kazi atakapokuwa mwenyeji huyo utamshangaa kama vile mwakye
Mawazo yako yapo akilin mwangu pia
 
Tundu Lissu alikuwa anapigapiga meza tu, wakati prof Kabudi akimwaga darasa la sheria bungeni. Ile clip nimeirudia kuiangalia zaidi ya mara tatu.
Angalia sio kila anaye kusifia anakusifia kwa mazuri ukiona body language utaona ni joking alikuwa anafanya why mwakyembe asipige meza au Prof. Muhongo??
 
Angalia sio kila anaye kusifia anakusifia kwa mazuri ukiona body language utaona ni joking alikuwa anafanya why mwakyembe asipige meza au Prof. Muhongo??
Mkuu mimi ni mzoefu sana wa kuzisoma body language.

Prof Kabudi kasoma na kaka yake Lissu, hawa ni watu wa Singida na wanaheshimiana. Lissu hawezi kumdhihaki Kabudi.
 
  • Kwa kujenga hoja Tindu Lissu na upinzani kwa ujumla hawatoboi kwa Prof. Kabudi
  • Labda walete vurugu kama walizokuwa wakiwafanyia Prof. Muhongo na Tibaijuka enzi zile za bunge la awamu ya Jakaya Kiwete

Hapo hakuna suala la kujernga hoja kwenye kitu ambacho hakina ukweli wala hufikirii kwa hoja zako bali za kulazimisha kitu fulani. Hilo ndio huwa tatizo la chama tawala. Unakwenda kusimamia kitu usichokiamini. Kwasababu ya kutaka kufurahisha fulani.
 
Back
Top Bottom