masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,587
Lisu anamalizwa na mambo mawiliWanasiasa hawajakubali Hali halisi , inavyotakiwa wafanye tuu siasa na sio kumtaja taja Maghufuli na kumsema , hyo inawafanya wadharaulike Kwa wananchi , ni aheri waliache tuu jina la Maghufuli wapambane na changamoto zilizopo , unapomnanga JPM hakikisha Una backup ya nguvu ya Dola bila hvyo utachina tuu
Umenena kweli. Asome alama za nyakati. Angepumzika tu mambo ya siasa afanye uwakili wake.
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.
Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.
Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.
Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.
Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.
Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Taarifa kwa Chakaza Salary Slip Erythrocyte Arushaone Sexless na manazi wote wa bavicha

How is it political suicide whilst the entire CCM regime is Anti-JPM too!!He's too obsessed with Magufuli. Teetering against Magufuli equates to political suicide.
Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Muancheni Lisu ni Mzalendo namba 1 Tanzania. The true son of Africa.
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.
Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.
Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.
Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.
Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.
Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Umenena vema,ni wahafidhina matutusa tu wanashindwa kuuona ukweli huu. Wengi wanaamini kuwa Lissu anapingana na Mbowe,ukweli ni kuwa Lissu anajua anachofanya Mbowe na Mbowe anajua anachofanya Lissu. Wanapita njia tofauti lakini destination ni moja. Hata Samia.anajua kuna wahafidhina huko CCM wasiokubaliana na staili yake ya maridhiano tofauti ni kuwa wahafidhina wa CCM hawako.huru kuja hadharani kama afanyavyo Lissu.Mbowe na Lissu wanaenda kuhutubia jukwaa moja Kigoma.Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?
Mwache Mbowe afanye diplomasia tupate katiba, ila Lissu afanye radical politics ujinga ipungue maana ufisadi ni Kila Kona.
Huu ndio ukweli kwa 100%Upinzani watafute kiki mpya kabla ya 2024 la sivyo wataambulia nafasi chache sana kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na ule wa wabunge
Ufisadi si siasa, ni swal la utawala bora.Wewe ndio hujui siasa, tokea Mama Samia atumie diplomasia hata Mbowe amekua mwana diplomasia so kumekuwepo na Ombwe la mtu radical anayekemea ufisadi wazi wazi. Na aliyekua ku cover Hilo Ombwe ni Tundu Lissu so unaposema sio relevant nashangaa ulitaka naye akae kimya kusubiri maridhiano yaishe? What if it will be too late?
Mwache Mbowe afanye diplomasia tupate katiba, ila Lissu afanye radical politics ujinga ipungue maana ufisadi ni Kila Kona.
Kuwa makini, mengi ya yanayoandikwa ni vituko vya Lissu ambavyo wala havina dira au uelekeo...Lissu angekuwa irrelevant asingeanzishiwa hoja nyingi kiasi hiki hapa JF, na ktk vyombo mbalimbali vya habari.
Kuwa makini, mengi ya yanayoandikwa ni vituko vya Lissu ambavyo wala havina dira au uelekeo.
Lissu ni shujaa mkubwa wakati wote, mtu adimu, the legend. Aliyetaka kumuua yeye kafa, Lissu anaishi! Washenzi mjifunze kitu hapa1