Tundu Lissu: Sisi hatulazimiki kutumia Baraza la vyama vya siasa kukutana na Rais Samia. CHADEMA ni Chama Kikuu cha Upinzani!

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema chama chake hakilazimi kutumia Baraza la vyama vya siasa kufanya mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan

Lisu amesema Chadema ni chama kikuu cha upinzani na kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria na katiba.

Source: VoA Swahili
Mpuuzi tu kwani vyama vingine havijasajiliwa kisheria? Kwanza wao sio chama kikuu cha upinzani. Chama gani kikuu cha upinzani wana kiti kimoja tu cha kushinda uchaguzi bungeni? Chama hakina ushawishi wowote wamebakia kuleta fujo za kisiasa tu nchini.
 
Huyu nae sisi tunahangaika na tozo za miamala kwenye simu na Luku yeye kakazana tu na SACCOS yao. Ningemuona wa maana kama angejaribu kuzungumzia hizi tozo ili kuonyesha anawajali wananchi!
Wamarekani hawanaga muda wakuuliza kuhusu tozo ata siku moj huwezi sikia sijui upungufu wa madarasa au vyoo
 
Sifa za kuwa chama kikuu Cha upinzani ni zipi?

USSR
uNLESS chadema WANAKUBALI KUWA AKINA hALIMA mDEE NI WABUNGE WA CHAMA CHAO, INAONEKANA KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NI act-wAZALENDO
 
Rais wa sasa ana nia nzuri ya kuboresha hayo mazingira, tatizo linakuja haraka za baadhi ya watu, mtu hata hajakaa miezi 4 ofisini watu tayari wanataka aanzishe mchakato wa katiba mpya, tume huru ya uchaguzi! Hapo hapo wanataka aachie mikutano ya hadhara na maandamano holela, wanataka watu wao waachiwe mahabusu, ashughulikie wabunge covid n.k.! Sidhani mimi na wewe tunaweza kudeal na ishu kubwa kama hizo ndani ya miezi 4 tu! And watu hawakumbuki ameikuta nchi ipo katika hali gani kisiasa, demokrasia, uchumi na diplomasia! Wanachowaza ni kupitisha ajenda zao kwa kauli zisizo na heshima kama, TUNATAKA, TUNAMTAKA, KATIBA MPYA NI LAZIMA, TUTAKUTANA BARABARANI, WAJINGA n.k.! Uvumilivu una mipaka

..Raisi ni taasisi.

..hayo yote yanaweza kushughulikiwa kitaasisi.
 
..Raisi ni taasisi.

..hayo yote yanaweza kushughulikiwa kitaasisi.
Na taasisi lazima iwe na vipaumbele vyake katika wakati husika, kuwa taasisi haimaanishi mnaweza mkaimplement vitu zaidi ya 5 vikubwa kwa wakati mmoja
 
Na taasisi lazima iwe na vipaumbele vyake katika wakati husika, kuwa taasisi haimaanishi mnaweza mkaimplement vitu zaidi ya 5 vikubwa kwa wakati mmoja

..Ni taasisi kwa maana inaweza ku-deal na vipaumbele vingi kwa wakati mmoja.

..pia taasisi inatakiwa iwe na uwezo wa ku-deal na crisis mbalimbali.
 
Mlopokaji tu

USSR
Wewe mwenye akili kisoda, unaweza kujilinganisha a Lisu kwa akili?

Hapa jukwaani tu hujawahi kuleta hoja yoyote ya maana, zaidi ya visentensi vichache vya kiwendawazimu.
 
Back
Top Bottom