JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Kwamba kwasababu kuna vyama vya siasa zaidi ya 20, sasa Rais aanze kufanya kazi ya kukutana na chama kimoja kimoja ???
1. Anaweza kukutana navyo ktk makundi, lakini viwe ni vyama vinavyokubaliana kimsimamo. Kwa mfano, huwezi kuwaweka TLP na Chadema ktk kundi moja.
2. Sio lazima Rais akutane ana kwa ana na vyama. Nadhani jukumu hilo angeweza kupewa waziri anayesimamia ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
3. Jambo la msingi ni kuboresha mazingira ya kufanya siasa hapa nchini. Siasa zifanyike bila mikwaruzano baina ya vyama, au baina ya vyombo vya dola na vyama.