124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
Hivi kweli mnajua mnachokijadili? Mnataka msimamo upi tena ?wapinzani wa serikali hii msimamo wao uko wazi watapinga na kulipigia kelele jambo lolote lile litakalofanywa na serikali au kiongizu mkuu wa serikali yetu endapo wataona linakwenda kinyume cha utaratibu kanuni sheria au la hovyo!Teh teh....hilo nalo ni kweli.
Wapinzani wa Tanzania hawana msimamo kabisa.
Na hawajaacha kufabya hivyo kwa umoja wao au kwa ntu mmoja mmoja na kwa msimamo wao huo ndio unawakuta wakiwa katika ulingo wa mahakama mara kadhaa na wengine wakiwa mahabusu au jela refer H. Mdee,Lema,Kubenea,TL,Lijua Kali na wengine wakiwa ahera mfano Kasim Hanga na wenzake na wengine siwataji maana mnawajua.
Jwa misimao yao wengine mali zao ay buashara zao kuhujumiwa siwataji !kwa misimamo yao wengine huzushiwa si raia !siwataji!jwa misimamo yao wengine huzushiwa kujigusisha na mambo ya hatari pia rejea suala la CUF na ugaidi kipindi cha mkapa!
Wapinzani wana msimamo shida ni kwamva nyie hamjui rangi zote za misimamo kwenu nyie msimamo muwaone barabarani wakiandamana mupate kuwadhuru!
Siku hizi tunaandamana mitandaobi ndio maana mmeanzisha sheria za hovyo za mitandao!
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app