Tundu Lissu: Sielewi kwanini Ngeleja hajakamatwa na Polisi

Time gonna tell. Lakini pia nishangae ya Lissu. Mbali na kutumia kiingereza kibovu kwenye tweeter yake pia sijafahamu kama kweli anadhamira ya dhati ya alichoki wonder. Tundu hajawahi hata kuonyesha kuunga mkono anachotenda Rais zaidi ya kupinga. Tundu hajawahi kuona kazi yoyote nzuri ya polisi au takukuru katika nchi hii. Leo anashangaa kwanini hawajamkamata Ngeleja! Sina uhakika iwapo asingeshangaa iwapo wangemkamata. Kwa kuwa kuna kila dalili kuwa Ngeleja atakuwa mikononi mwa dola siku zijazo, ni suala la muda na utunzaji tu wa kumbukumbu kuona ni nini huyu jamaa ataropoka kuhusu hilo!

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
hajaongea kingereza kibovu popote pale zaidi amesahau KIUNGANISHI

hana imani na polisi kabisa ila ameshangaa kwamba kama waliweza mkamata seth na ruge basi kwa spidi ile ile wangemkamata na huyu fisadi ngeleja !!!

pia acha upotoshaji lisu amemsifia sana magufuli kwenye issue ya Escrow hta aliweka uzi hapa JF kusifia hatua ile ya kuwakamata mafisadi ana akaomba aende mbali zaidi kwa kuwakamata wale wote waliohusika na ufisadi huuu

kingine lisu sio mropokaji ila yye ni mpinzani hivyo lazima awe pro active kwa kila kinachofanywa na serikali na hii ndio biggest role ya opposition kwenye nchi yoyote hta civics ya form 2 inafundisha hivo sasa mlitaka akae kimya alafu ndio kuna faida gani ya upinzani kuwepo???

ni hayo tu
 
Hiyo ni mada nyingine kabisa ambayo ina mjadala mpana na naheshim mawazo yako kuwa pengine wwe unaona sio hadhi yake ila shida yangu ni wwe kuleta upotoshaji humu eti tumepangisha!!! ni heri kma huju kitu ukae kimya tu maana mnapowadanganya watanzania kuna siku mtavuna mlichopanda nakumbuka nape aliwahi sema chadema ni ya kaskazini hku akisahau 2010 kaskazini ilienda ccm alivuna alichokipanda 2015 kwa ccm kufutwa rasmi kaskazini!! pia aliwahi sema magufuli ni rais wa uhakika sio majaribio siku anatumbuliwa ndio akajua eti rais ni dikteta
mbona unarukaruka boss, umeulizwa swali jibu swali

na pia hata swala la umiliki bdo hujanithibitishia beyond reasonable doubt kwamba kile kijumba pale kinondoni chadema inakimiliki au imepanga
 
Lissu kaongea akiongozwa na uchadema...kwanza ameshachuja wakili wa makanikia
Kwani hawezi kuongea kama mwanasheria anyetafsiri vifungu vya sheria ile ya utakatishaji fedha??? ama kaacha kuwa wakili cku hizi !funny

anyway unayesema amechuja lazma ujue wasomi wenzake wamekubali awaongoze tena kwa landslide ssa sijui wwe ndio umechuja kimawazo au lisu!!! mwenzio yupo on top na wwe unajua hilo chuki zako hazisaidii lolote maana hta maccm wenzio wanajua uwezo wake
 
Mm bado nko njia panda sio haya ya Ngeleja c kwamba kasetiwa ili tuvurugane kwenye vichwa vyetu kwl kma katumwa mm cpo nimetoka atawakuta nyinyi

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
mbona unarukaruka boss, umeulizwa swali jibu swali

na pia hata swala la umiliki bdo hujanithibitishia beyond reasonable doubt kwamba kile kijumba pale kinondoni chadema inakimiliki au imepanga
nikuthibitishie without reasonable doubt?? yaani nakupa fact wewe unapinga?? unayeleta tuhuma ndio unatakiwa ulete ushahidi au siku hizi ukitoa tuhuma basi aliyerushiwa tuhuma ndio alete ushahidi?? sheria ya wapi hiyo wwe

anyway ingia kwa tumaini makene alipandisha thread humu inayoainisha umiliki wa jengo la chadema toka 2012

muhim mkuu acha upotoshaji ulishasema jengo sio mali ya chadema ghafla unaulizia hadhi ndio nni hiko??? grow up
 
nikuthibitishie without reasonable doubt?? yaani nakupa fact wewe unapinga?? unayeleta tuhuma ndio unatakiwa ulete ushahidi au siku hizi ukitoa tuhuma basi aliyerushiwa tuhuma ndio alete ushahidi?? sheria ya wapi hiyo wwe

anyway ingia kwa tumaini makene alipandisha thread humu inayoainisha umiliki wa jengo la chadema toka 2012

muhim mkuu acha upotoshaji ulishasema jengo sio mali ya chadema ghafla unaulizia hadhi ndio nni hiko??? grow up
katika mazingira ya mjadala wetu burden of proof inaegemea kwako kwa maana me nimewasilisha hoja kwamba lile jengo cdm wamepanga na sio lao then wewe ukapinga kwa hyo ulipaswa utuambie kwann unapinga tena kwa kuthibitisha pasi na shaka kwamba mimi napotosha

then our second concern ikawa ni je lile jengo bila kujali linamilikiwa au limekodishwa je linaakisi hadhi na uwezo wa kifedha wa chama chako?
 
Angekuwa ni Mpinzani ndie alipewa hizi fedha na akarudisha muda huu ungekuta takukuru, DCI, polisi, magereza, mwanasheria mkuu, wooote wanamng'ang'ania kama mpira wa kona!
 
CHADEMA MENGINE MUYAACHAGE YAPITE HADI MWISHO KITENDO CHA KILA JAMBO KULIKURUPUKIA NDIO KUNAONESHA HAMNA MNACHOFIKIRI ILA MNASUBIRI KUTAZAMIA.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu mpuuzi. Kwann alisema Lowassa ni fisadi na yuko nae cdm. Kuna mtu alikua anamponda Lowassa kama tundu lisuu?

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
I kinda wonder the same too......

But, does that mean Lissu supports the president's efforts in the war against graft?
Kwani Lissu & Co walisema hela ni za umma au sio za umma? hao presdaa wako na wakata mauno wenzio si ndo mlikuwa mnagalagala vumbini na kushangilia hela sio za umma??
 
Kwanini ninyi mna matatizo gani?

Inanifanya niamini CCM ndio inaongoza huu wizi, haiwezekani kabisa mliambiwa huu ni wizi mkabisha leo mwizi anarudisha., Mwizi karudisha tena hata kujaribu kumkamata hamwezi? Huu wizi wote ni wa CCM haiwezekani,

Mlinunua Rada mbovu hapa hao mnaowaita Wezi Wazungu ndio waliotupigania tukarudishiwa Chenchi, bado na Chenchi yenyewe mkala daaaaaaaaaaaaaa,
CCM kiboko
 
Akamatwe kwa kosa lipi??
Kwani kuna saini yake au alisaidia kwa njia yoyote katika kuzitoa pesa toka escrow account??
Mkuu katafuta sheria ya utumishi wa uma inasema je

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom