Tundu Lissu rudi Shule

Tundu Lissu rudi Shule

Hamna kitu mkuu huyo ni mbumbumbu tu mropokaji.

Wapuuzi kama wewe huwa tunawapuuzia kama mlivyo wapuuzi hakuna mwanasheria ndani ya ccm mwenye uwezo kujua sheria kama Tundu Lissu muuliza makinda atakuambia wewe mpiga debe wa ccm humu Jf huwezi kujua.
 
Hachana nae mshadadiaji hasie jua lolote huyo mkuu,wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kutoona umuhimu wa elimu
 
Kamulize Micheal wambura alipokiuka Masharti ya familia walimfanyaje? na yuko wapi siku hizi????
Yule jamaa aliteseka sana yule alikuwa anataka kugombea uraisi wa sijui wa TFF
 
Chama cha wakristo

Mmetoka kwenye chama cha wachaga mmehamia sera ya chama cha wakristo hizi ni siasa za maji taka uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana tunakupuuzia .
 
kuwa kwa msajili haina maana iko sahihi!!

If it is void what is the meaning of evaluation and acceptence kwa kila katiba ya kila chama,maana.kuna kuwepo na jopo la wanasheria wanapitia vifungu zote hili hiwe ligally acceptable ndipo chama kina exist so kwa mujibu wa viwango mkaguzi wa vyama amekubali katiba yao.
 
nyie msiokuwa mawakili wasomi kaeni kimya kama hamjui sheria, sio mnakashfu tasnia za watu
 
Mihemkoo at work,,yeye alipeleka kesi kuzuia kufukuzwa sasa kashindwa kesi unataka asifukuzwee!!
 
Hivi mbona mi sielewi.iweje zitto apeleke kesi mahkama kuu wkt anajua katiba ya chama cha chadema kikisema atakaye enda kufungua kesi huku si mwanachama tena? Na hii kesi mbona lissu hakutamka mapema kama ni kosa kwa mujibu wa katiba na nijuavyo hii kesi ina muda usopungua miaka 3.na mahkama pia kwanini ilipokea kesi kwani nijuavyo hata mahkama lzm ijue katiba ya chama cha siasa na wangemshauri arudi kwy mahkama za chini.na iweje kwa vuguvugu kubwa ulokwepo wa siasa mtu abanwe na katiba ya chama eti asiende kufungua kesi na wamalize ndani ya chama? Ama kweli kwa maono yangu huu ni usomi ubabaishaji?
 
Wapuuzi kama wewe huwa tunawapuuzia kama mlivyo wapuuzi hakuna mwanasheria ndani ya ccm mwenye uwezo kujua sheria kama Tundu Lissu muuliza makinda atakuambia wewe mpiga debe wa ccm humu Jf huwezi kujua.

Najua una mahaba na Tundu Lissu nami nakupuuza kama huyo mropokaji asiekuwa na mbele wala nyuma.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana nakupuuzia siwezi kushindana na mwehu kama wewe
 
Katiba ya Chama chochote cha Siasa au kinginecho au sheria yoyote inayomzuia mtu yeyote kwenda Mahakamani kudai haki yake kwa kuona kama imekiukwa au inaelekea kukiukwa, katiba au Sheria hiyo ni batili tangu mwanzo wake (Null and void ab initio).

Ieleweke kuwa sheria yoyote inayotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au katiba ya Chama chochote kiwe cha Siasa au kijamii au kikundi chochote cha watu haipaswi kuwa juu ya/ au kukiuka matakwa yaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ibara husika ya Katiba ya CHADEMA ni kandamizi na imekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho ya mara kwa mara. Hata hivyo nawashangaa sana wananchi katika suala hili maana Mahakama haijatoa uamuzi juu ya uanachama wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA bali imetupilia mbali kesi yake kwa kuunga mkono pingamizi la awali (P.O) la mawakili wa CHADEMA kwamba kulikuwa na makosa ya kisheria kufungua kesi hiyo kwenye Mahakama kuu ya Tanzania tena kwenye masjala kuu ya Mahakama kuu ya Tanzania (Main Registry of the High Court of Tanzania) badala ya Masjala ya Wilaya ya Mahakama hiyo (District Registry of the High Court of Tanzania)

Na kwamba kesi hiyo ingefunguliwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi.

Mimi sipendi kuzungumzia uamuzi wa Mahakama kwenye forum hii maana maadili ya kazi zangu na taaluma yangu hayaniruhusu ila ninachotaka kufanya ni kumkosoa kaka yangu, msomi mwenzangu Tundu Lissu kwamba si kweli kwamba tangu Zitto alipofungua kesi yake mahakamani dhidi ya CHADEMA basi alikuwa si mwanachama tena wa CHADEMA kutokana na ibara ya katiba ya CHADEMA inavyosema, maana kama ingekuwa hivyo basi Zitto asingehudhulia Bungeni tangu tarehe 2/1/2014 lakini mbona ameendelea kuwa Mbunge hadi leo na hata siku zijazo mpaka utaratibu wa kisheria utakapofuatwa?

yeye Tundu ni nani hadi kutamka kwamba Zitto si mbunge tena wa Kigoma Kaskazini kama alivyotamka jana mbele ya waandishi wa habari? why souldn't he leave this matter to the proper authorities?

Hata kama Zitto akikoma kuwa Mbunge ni kwa mujibu wa katiba na Sheria za nchi na si kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA hasa kwa Ibara hiyo inayozuia mwanachama wa CHADEMA kwenda Mahakamani maana Ibara hiyo ni batlli na kinyume cha Katiba ya nchi.

Zitto bado ana fursa kubwa ya kwenda mahakama ya Rufaa kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi huo wa mahakama kuu na ni haki yake kuendelea na ubunge wake wakati akisubiri uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ambacho ni chombo cha juu kabisa cha maamuzi juu ya haki za watu hapa Tanzania.

kwa msomi wa sheria na wakili mkongwe kama Tundu Lissu kukurupuka kwa hisia za kisiasa na kuropoka juu ya hatima ya Zitto ndani ya CHADEMA mimi naona kama ni tukano kwa taaluma hii ya kifalme (It is an abuse to this noble profession).

Taaluma hii sasa imeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao wanaweza kusimama na kutamka lolote ili mradi tu wakidhi hoja zao za kisiasa badala ya kwenda kwenye uhalisia wa kisheria. Ndiyo maana hata Ngereja ambaye kitaaluma ni mwanasheria alipohojiwa na baraza la tume ya maadili ya viongozi katika kutoa utetezi wake anajitetea kuwa eti siyo yeye tu aliyepokea hela za escrow bali pia hata Zitto kabwe naye alipokea kutoka sehemu kadha wa kadha.

Uliona wapi mwanasheria wa kweli anatoa utetezi wa aina hiyo? Can somebody justfy wrongs because the same have been commited/done by somebody else? Unaua mtu kwa sababu fulani naye kaua? Hao ndo wanasheria dizaini ya Tundu Lissu, wanajua lakini wanajifanya hawajui ili kujustify position na kiu zao za kisiasa.

Mwisho Zitto nakupa nguvu uamue mambo haya kwa utashi wako mwenyewe. Ikiwa unaona unahitaji kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi wa mahakama kuu kutoka katika mahakama ya rufaa tanzania sisi tupo tayari kukusaidia hata bure kabisa tukiungana na Wakili Msomi Alberto Msando ili tafsri hiyo isiwe kwa manufaa yako tu bali kwa kizazi chote cha Tanzania.

Ni katika Mahakama ya rufaa tunaweza kupata maelekezo juu ya katiba mbovu za vyama kama CHADEMA zinazofifisha haki za watu/ wanachama wake kukishitaki chama wakati hilo ni takwa na haki ya kikatiba. Kuwa mwanamapinduzi kunahitaji moyo na muda.

Usikate tamaa, kama ni chama chao waachie kidizaini lakini twende Mahakama ya Rufaa tupate tafsri sahihi, na je Mahakama kuu kuendelea na kesi yako bila kutoa notisi kwako au kwa wakili wako kama tarehe ya kusikiliza ilibadilishwa kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari ilikuwa sahihi(kama ni kweli)?

Hayo ndo mambo ya muhimu watanzania wangependa kujua na si longolongo za kisiasa kama za Tundu Lissu na wenzake wenye mtazamo kama huo.

Aluta Continua Comrade Zitto Zuberi Kabwe. Demokrasia ya kweli lazima izingatie sheria na Katiba za Nchi zilizo nzuri zisizokiuka haki za watu. Si sheria zote ni Sheria!
Ukiangalia ulicho kiandika hapo ndiyo utagundua kuwa wewe ni funza maana hata neno "correct and Illigality" kisheria linakusumbua tatizo mnasoma vyuo vya kando kando.
(Kauli ya mzee mkono hii ntaikumbuka daima)
 
Nimesoma aya moja nimegundua ni ujinga tu... Kiufupi ni kwamba katiba ya CHADEMA inatambulika mpaka kwa msajili wa vyama then who are you?

kwahiyo ikitambulika kwa msajiri ,Katiba ya nchi ni kubwa kuliko sheria yoyote
 
Mihemkoo at work,,yeye alipeleka kesi kuzuia kufukuzwa sasa kashindwa kesi unataka asifukuzwee!!
ALiweka pingamizi asijadiliwe na kamati kuu mpaka liitishwe baraza kuu akatoe utetezi.

kamati kuu haikuheshimu pingamizi wakamfukuza kimyakimya.
 
Kweli Tanzania tuna wasomi. Hivi wewe mleta mada ni msomi au unajita msomi?
Msomi gani hujui jinsi ya kuandika?
Unaandika utadhani ni mwanafunzi wa darasa la 6 tena la 6 C!
Hujui kuwasilisha mawazo yako!
Hujui kupangalia hoja zako!
Afu unajiita msomi.
Una fikra nzuri but umeshindwa kufikiri.
Kichwa kimejaa akili but unakataa/unashindwa kuzitumia msomi wetu.
Rudi kajipange upya.
 
Rudi shule Ndugu yangu! Kama vile hujaelewa Issue nzima ilivyo!

Katiba ya Chama chochote cha Siasa au kinginecho au sheria yoyote inayomzuia mtu yeyote kwenda Mahakamani kudai haki yake kwa kuona kama imekiukwa au inaelekea kukiukwa, katiba au Sheria hiyo ni batili tangu mwanzo wake (Null and void ab initio).
Ni mahakama pekee inayoweza ku declare kitu kuwa Null and void once the same is challenged before the Court of Law with competent jurisdiction.
Halafu hakuna "Null and Void ab initio", it is either "Null and Void" or "Void ab initio"!

Ieleweke kuwa sheria yoyote inayotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au katiba ya Chama chochote kiwe cha Siasa au kijamii au kikundi chochote cha watu haipaswi kuwa juu ya/ au kukiuka matakwa yaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ibara husika ya Katiba ya CHADEMA ni kandamizi na imekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho ya mara kwa mara. Hata hivyo nawashangaa sana wananchi katika suala hili maana Mahakama haijatoa uamuzi juu ya uanachama wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA bali imetupilia mbali kesi yake kwa kuunga mkono pingamizi la awali (P.O) la mawakili wa CHADEMA kwamba kulikuwa na makosa ya kisheria kufungua kesi hiyo kwenye Mahakama kuu ya Tanzania tena kwenye masjala kuu ya Mahakama kuu ya Tanzania (Main Registry of the High Court of Tanzania) badala ya Masjala ya Wilaya ya Mahakama hiyo (District Registry of the High Court of Tanzania)
I expected you to mention the exact conflicting provisions bt instead you ended up sounding like anyother Lay/common man! Halafu mkipigwa P.O mnabaki kuishangaa court kwa kutupilia mbali kesi za wateja wenu.

Na kwamba kesi hiyo ingefunguliwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi.

Mimi sipendi kuzungumzia uamuzi wa Mahakama kwenye forum hii maana maadili ya kazi zangu na taaluma yangu hayaniruhusu ila ninachotaka kufanya ni kumkosoa kaka yangu, msomi mwenzangu Tundu Lissu kwamba si kweli kwamba tangu Zitto alipofungua kesi yake mahakamani dhidi ya CHADEMA basi alikuwa si mwanachama tena wa CHADEMA kutokana na ibara ya katiba ya CHADEMA inavyosema, maana kama ingekuwa hivyo basi Zitto asingehudhulia Bungeni tangu tarehe 2/1/2014 lakini mbona ameendelea kuwa Mbunge hadi leo na hata siku zijazo mpaka utaratibu wa kisheria utakapofuatwa?
Uwe unasikiliza na Kuelewa, otherwise utakuwa unamalizwa na mapingamizi. Kilichosemwa na Lissu ni kuwa, cdm walishaafiki kufukuzwa kwa Zitto, akakimbilia mahakamani kuweka pingamizi, hivyo akabaki kuwa mbunge na mwanachadema kwa amri ya mahakama na si vingine. Sasa kesi imetupiliwa mbali, katiba ya chama inasemaje? Hapo ndipo ulipotakiwa kuanzia not otherwise!

yeye Tundu ni nani hadi kutamka kwamba Zitto si mbunge tena wa Kigoma Kaskazini kama alivyotamka jana mbele ya waandishi wa habari? why souldn't he leave this matter to the proper authorities?
It is stranger that You do not know who is Lissu in cdm!Ulipaswa kumfahamu kabla ya kuleta huu uzi. And by the way si yeye aliyemtimua, bali alitoa tafsiri ya katiba ya chama.

Hata kama Zitto akikoma kuwa Mbunge ni kwa mujibu wa katiba na Sheria za nchi na si kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA hasa kwa Ibara hiyo inayozuia mwanachama wa CHADEMA kwenda Mahakamani maana Ibara hiyo ni batlli na kinyume cha Katiba ya nchi.

Ili uwe mbunge lazima udhaminiwe na chama, na chama kimepewa mamlaka kikatiba kumuondolea udhamini mbunge atakayethibitika kukiuka taratibu za chama hu$ika.

Zitto bado ana fursa kubwa ya kwenda mahakama ya Rufaa kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi huo wa mahakama kuu na ni haki yake kuendelea na ubunge wake wakati akisubiri uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ambacho ni chombo cha juu kabisa cha maamuzi juu ya haki za watu hapa Tanzania.

Ni relief gani kati ya Appeal, Revision, na review, Zitto anapaswa kuomba?

kwa msomi wa sheria na wakili mkongwe kama Tundu Lissu kukurupuka kwa hisia za kisiasa na kuropoka juu ya hatima ya Zitto ndani ya CHADEMA mimi naona kama ni tukano kwa taaluma hii ya kifalme (It is an abuse to this noble profession).

Your thread has real abused this noble profession. Umetuangusha saaana, unamtuhumu Lissu kwa Kukurupuka ilihali we Umekurupuka kuliko neno Kukurupuka!

Taaluma hii sasa imeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao wanaweza kusimama na kutamka lolote ili mradi tu wakidhi hoja zao za kisiasa badala ya kwenda kwenye uhalisia wa kisheria. Ndiyo maana hata Ngereja ambaye kitaaluma ni mwanasheria alipohojiwa na baraza la tume ya maadili ya viongozi katika kutoa utetezi wake anajitetea kuwa eti siyo yeye tu aliyepokea hela za escrow bali pia hata Zitto kabwe naye alipokea kutoka sehemu kadha wa kadha.

Uliona wapi mwanasheria wa kweli anatoa utetezi wa aina hiyo? Can somebody justfy wrongs because the same have been commited/done by somebody else? Unaua mtu kwa sababu fulani naye kaua? Hao ndo wanasheria dizaini ya Tundu Lissu, wanajua lakini wanajifanya hawajui ili kujustify position na kiu zao za kisiasa.

Mwisho Zitto nakupa nguvu uamue mambo haya kwa utashi wako mwenyewe. Ikiwa unaona unahitaji kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi wa mahakama kuu kutoka katika mahakama ya rufaa tanzania sisi tupo tayari kukusaidia hata bure kabisa tukiungana na Wakili Msomi Alberto Msando ili tafsri hiyo isiwe kwa manufaa yako tu bali kwa kizazi chote cha Tanzania.

Ni katika Mahakama ya rufaa tunaweza kupata maelekezo juu ya katiba mbovu za vyama kama CHADEMA zinazofifisha haki za watu/ wanachama wake kukishitaki chama wakati hilo ni takwa na haki ya kikatiba. Kuwa mwanamapinduzi kunahitaji moyo na muda.

Usikate tamaa, kama ni chama chao waachie kidizaini lakini twende Mahakama ya Rufaa tupate tafsri sahihi, na je Mahakama kuu kuendelea na kesi yako bila kutoa notisi kwako au kwa wakili wako kama tarehe ya kusikiliza ilibadilishwa kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari ilikuwa sahihi(kama ni kweli)?

Hayo ndo mambo ya muhimu watanzania wangependa kujua na si longolongo za kisiasa kama za Tundu Lissu na wenzake wenye mtazamo kama huo.

Aluta Continua Comrade Zitto Zuberi Kabwe. Demokrasia ya kweli lazima izingatie sheria na Katiba za Nchi zilizo nzuri zisizokiuka haki za watu. Si sheria zote ni Sheria!

Punguza Mahaba! Huko unapompa ushauri Zitto muende naiona kashfa nyingine ya Uzembe km alivyoipata Msando. Kupigwa P.O ni kashfa kwa Wakili anayejitapa km Msando. He is supposed to be fired by Zitto, otherwise mnaenda kuangukia Pua tena, hususani wewe nawe ukijoin force!
 
Siku ambayo Chadema wanaota kutawala nchi nina uhakika mhimili wa MAHAKAMA hautakuwepo.Kwa kuwa katiba yao haitambui mahakama kama chombo cha kusimamia Haki.

Siku ikitokea muujiza huo Hakika Lema a.K.a Mali ya Mungu atajipa cheo cha Mkuu wa Ujasisi na utesaji atawaua wote ambao ni wapinzani wa mbowe.
 
Ukiangalia ulicho kiandika hapo ndiyo utagundua kuwa wewe ni funza maana hata neno "correct and Illigality" kisheria linakusumbua tatizo mnasoma vyuo vya kando kando.
(Kauli ya mzee mkono hii ntaikumbuka daima)

Lugha na Taaluma ni vitu viwili tofauti, Kuna wasomi wenye PHD na maprofesa hawajui kingereza, wachina 80% hawajui kingereza lakini wana wanasayansi wengi hakuna Mfano, wapo Wasomi. Wafaransa, waspain, Wajerumani, nk Lakini hawajui kingereza na maisha yanaendelea , Lugha na Taaluma haviendani, mfano wale wazaliwa wa London wote wanajua kingereza japo wengi wangi Si Wasomi, l
 
Back
Top Bottom