Tundu Lissu rudi Shule

chimwemwe67

Na wewe ni msomi? Hongera naona umetiririka kinoma msomi wa Eagle Collage of Management.

Ajira ni uhakika na kuongea kiingereza ni ndani ya siku mbili.

Hongera msomi.

umenitoa stress nlikua cjacheka kutwa nzima haha!
 
Last edited by a moderator:
Kombora la lissu litakuwa limegonga penyewe maana yake hizi yowe siyo za kawaida.

Mambo yameenda kinyume na vile walivyo tegemea wakati watu walitakiwa wawe na furaha baada ya CHADEMA kuwasaidia kumundoa mtu wao,kuondokana na chama chenye ukanda na udini sasa yowe zimetawaka kila kona hata ACT wanaona kigugumizi kumpeleka sijui nako kuna waka moto.
 
Barua ya kumvua uanachama iko wapi?

Kumbuka unapomfukuza mtu Kazi Kuna mawili au inategemeana kipindi unamfukuza anakuwa yupo ofisini au yuko nyumbani kwa uchunguzi. Inapotokea umejiridhisha na uchunguzi wako unao uwezo wa kumwandikia barua ya kumfukuza na hapo hapo kutangaza.

Ivyo basi kwa Zitto baada ya swala lake au tuseme zuio lake mahakamani kushindwa inamana akawa ameshajiondoa moja kwa moja kwenye chama kwasababu sheria anazijua kuwa ukiishtaki chama mahakamani mojakwamoja wewe sio mwanachama tena. Kwahiyo mwanasheria wa Chadema alipotangaza kuwa Zitto sio mwanachama. Barua iliandikwa siku hiyo hiyo ilipotolewa taarifa kwa wanachama wa Chadema. Na sio lazima Zitto akuonyeshe barua aliyoandikiwa, kwani wewe ni nani hasa kwa Zitto
 
tUHUMA HUJIBIWA KWENYE MAMLAKA HUSIKA SIO MTANDAONI...SUCH ANONIMOUS WRITINGS ARE NOT RELIABLE, MARA NGAPI WASANII WANAKANA TOVUTI ZAO?

Nanyi tuhuma zake zipelekeni kwenye mamlaka husika. Sio kuja hapa nakubwabwaja.
 

Kwanza inaonekana wewe sio mwanasheria kama mimi, pili lugha inakusumbua. Unashindwaje kutofautisha kati ya correct na illigality?
Kama hujaelewa sema nikufafanulie.
 
Hiyo ndiyo katiba ya CHADEMA na ndiyo imeshasajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa nchini...una lingine?
Kama huna lingine vizuri, haya nenda kasome katiba/sheria ya FIFA

Hahaha eti ya FIFA.
 

Ulikua unataka kumaanisha nini mkuu.
 

US uhakika wewe au
 
hata wanasheria wa CCM wanakili kua TUNDU LISSU ni mwanasheri mwenye uwezo mkubwa na wanatamani hata angekua mwanasheria awo ila hawana uwezo wa kummiliki hata BABA MILAJI hilo analijua alisha wahi kukili siku moja kua LISSU ni mwanasheria mzuri sana
 
Zitto na Chadema imebaki kua history,hayo mengine ni porojo tu!!kama wewe u re good katika law ungetoa ushauri huu wa kisheria mapema kwa jopo la wanasheria wa Zitto,otherwise kwa sasa ni ushuzi mtupi!!Zitto jitahidi usije kuishia kama Dk Aman Warid Kaborou
 
Huyu mleta ni mada ni mmojawapo wa wasomi wa ccm wanategemea mimi hakuna watu ninawadharau kama wasomi wa tanzania wao ndo wanatumia na ccm kama toiler hawajitambua kabisa Zitto nenda kaungane na wasaliti wenzako huko ACT au CCM.Chadema hatuna muda wa kulea wanafiki kama wewe.
 
hata wanasheria wa CCM wanakili kua TUNDU LISSU ni mwanasheri mwenye uwezo mkubwa na wanatamani hata angekua mwanasheria awo ila hawana uwezo wa kummiliki hata BABA MILAJI hilo analijua alisha wahi kukili siku moja kua LISSU ni mwanasheria mzuri sana

Hamna kitu mkuu huyo ni mbumbumbu tu mropokaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…