Tundu Lissu rudi Shule

Tundu Lissu rudi Shule

Hapo ulivyoitumia hiyo condition ya ubatili kuna factor hujaiangalia vema kwamba itakapotokea sasa ile kesi uloipeleka mahakamani wewe mpelekaji umeshindwa hapo ndipo na uanachama umekushinda siyo kwamba kukipeleka tu chama mahakamni basi wewe siyo mwanachama.

Nafikiri umeelewa.

we hata kumuelewesha mtoto wako jambo hawez kuelewa kamwe ndo nn hiki
 
Football yenyewe inakataza kwenda mahakamani sembuse chama cha ukombozi??
 
waulize wachaga kosa la zzk ni lip haswa,kwenda mahakaman au kutaka chama kikaguliwe au kuutaka uenyekit
 
Siku ambayo Chadema wanaota kutawala nchi nina uhakika mhimili wa MAHAKAMA hautakuwepo.Kwa kuwa katiba yao haitambui mahakama kama chombo cha kusimamia Haki.
Hata spika Makinda aliamuru bunge kupuuzia amri ya mahakama iliyozuia kujadili suala la ESCROW bungeni. Makinda inabidi ahamie CHADEMA kwani huku CCM hatufai
 
chimwemwe67
Ninyi wanasheria wa Tz ni wehu sana. Njaa itaamaliza. Hata wewe kuna kamkate kako unatetea hapa. ZZK hajakanusha popote madai ya usaliti, that means tuhuma dhidi yake ni ukweli mtupu.

Kama hajaridhika akate rufaa kama ulivyomshauri
 
Last edited by a moderator:
chimwemwe67

Katiba za vyama vya mpira hairuhusu mtu kukimbilia mahakani kwa hiyo xiko juu ya katiba au?
 
Last edited by a moderator:
ninyi wanasheria wa Tz ni wehu sana. Njaa itaamaliza. Hata wewe kuna kamkate kako unatetea hapa. ZZK hajakanusha popote madai ya usaliti, that means tuhuma dhidi yake ni ukweli mtupu.
Kama hajaridhika akate rufaa kama ulivyomshauri

zidumu fikra za mbowe
 
When arguing with someone in an attempt to get at an answer or an explanation, you may come across a person who makes logical fallacies. Such discussions may prove futile. You might try asking for evidence and independent confirmation or provide other hypotheses that give a better or simpler explanation. If this fails, try to pinpoint the problem of your arguer's position. You might spot the problem of logic that prevents further exploration and attempt to inform your arguer about his fallacy.

.............Confirmation biased people (similar to observational selection): This refers to a form of selective thinking that focuses on evidence that supports what believers already believe while ignoring evidence that refutes their beliefs. Confirmation bias plays a stronger role when people base their beliefs upon tradition and prejudice.
 
Katiba ya Chama chochote cha Siasa au kinginecho au sheria yoyote inayomzuia mtu yeyote kwenda Mahakamani kudai haki yake kwa kuona kama imekiukwa au inaelekea kukiukwa, katiba au Sheria hiyo ni batili tangu mwanzo wake (Null and void ab initio). !

Wewe utakuwa bush lawyer usitake KUJIMWAMBAFAI hapa. Sidhani hata LLB 101 umesoma wewe.

Hebu jaribu kuipeleke TFF (Chama Cha Mpira wa Miguuu Tanzania) mahakamani, tena TFF wao wamekwenda mbali zaidi, hata ukishinda kesi hiyo mahakamani, basi huwezi tena kamwe kugombea uongozi wa TFF. Achilia mbali CHADEMA iliyotoa MSAMAHA kwa atakayeshinda kesi basi kuendelea kuwa mwanachama au kiongozi.

Eti hawa ndio SPIN DOCTOR wa Zitto waliokwenda shule? Tema mate chini pyuuuuuuuu!
 
Wakili msomi Msando!
Huyu nae kawa kama wakina pedejee Ndama,papaa Msofe nk hivi kujiita tu wakili haitoshi?
 
Tatizo hapa ni ubunge au uanachama? Kama chama hakikutaki kwa nini ulazimishe uwe mwanachama wake? Anaweza kuhamia kule ACT na still akatetea ubunge wake na si lazima agombee kupitia Chadema. Nashangaa watu wengine ndiyo wanapiga kelele kwa niaba ya Zitto wakati yeye mwenye anatua Mwandiga kesho kuujulisha umma kuwa anahamia kwenye chama ambacho ameshiriki kukiasisi akiwa Chadema? Kelele hizi haziwezi kubadilisha maamuzi ya Chadema....period.

Hata kwenye ajira, mtu huwa anapewa masharti kabla ya kuanza kazi. Kama hukubaliani na masharti au policy hakuna anayekulazimisha kuchukuwa hiyo kazi. Lakini ukisaini kuchukuwa kazi inamaanisha kuwa unakubaliana na policy na taasisi ina-expect u-comply na kile ulichosaini. Na ili policy iwe relevant, inatakiwa kuwa updated mara kwa mara kutokana na mabadiliko au mahitaji kwa kipindi hicho. Na policy inapokuwa updated kila mhusika mpaka mfanyakazi wa chini anapewa na anaulizwa kama anakubaliana nayo, kama hukubaliani nayo..RUKSA KUMATA NJIA. Tatizo liko wapi?

Kama kweli mko concerned na katiba ya Chadema, kwa nini msiende mnakokuhafamu (haki inapopatikana) mka-file petition ili hilo tatizo lishughulikiwe? Maana nina uhakika hakuna maamuzi ambayo yanaweza kufanyika hapa JF dhidi ya katiba ya Chadema juu ya adhabu ya Zitto. Badala ya kupoteza muda, watu kadhaa wakae, wa-draft na ku-file petition au kwenda kufungua kesi mahakamani juu ya ukandamizaji wa Katiba ya Chadema dhidi ya wanachama wake. Na hakikisha wewe ni mwananchama wa Chadema kabla hujaenda kufungua kesi ili ueleze ni jinsi gani unaathirika na katiba hiyo. Ila upitie ngazi zote za chama before hujaenda mahakamani maana yanaweza kukuta kama haya haya.
Good luck.
 
nyie wachaga endeleen na chama chenu kwan tatzo nn

Na nyie Wandengereko endeleeni na Genge(CCM)yenu iliyopoteza Dira na mwelekeo.
chadema ni taasis inayojitegemea na kwamba haitegemei umaarufu wa mtu mmoja mmoja.Kwa uhalisia na jinsi wana CCM mnavyolalamika ni dhahiri CHADEMA kimewashika pabaya hadi mnaweweseka,na kujambajamba hovyo.
CCM iliwajadili kina LOWASSA lakini hawakwenda mahakamani kwa sababu waliheshimu Katiba ya chama japo ni mbovu. na kwa nini yeye ZITTO hakueshimu maamuzi au Katiba ya chama?
Wakifanya CHADEMA ni dhambi ila wakifanya CCM ni baraka?
 
Kwan swala lililopo mahakaman ni katiba ya cdm au ni kuhusu pingamizi la zito,angalizo kwa ninyi mnao waza rufaa!na kama ni katiba mlikuwa wap msioji mpaka mtu apigwe nyundo au?
 
Back
Top Bottom