Kama ambavyo Dr. Slaa alivyowatoa pangoni kama Nyoka na kuja porojo za hapa na pale huku wakijisahau kuwa hawakujua ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA ulianzia wapi, ndivyo walivyokuja na porojo tena baada ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, JAKAYA MRISHO KIKWETE alipomwambia LISSU ANATEMEBEA NA MWENYE RICHMOND KWENYE KAMPENI MIKOANI.
Mbatia anakuna porojo za kukemea maneno yasiyostahili kwenye kampeni yanayotumiwa na CCM na kujivika UPOFU na UKIZIWI na kujifanya hajui maneno ya UDINI na UKABILA na kejeli kedekede kutoka kwa Wagombea wao. Hizi ni porojo tu, tena porojo za kuwa msemaji wa CHAMA CHA CHADEMA, UKAWA haupo tena. Hatuwasikii viongozi wa CUF na NLD, watanzania wanajua sasa MBATIA anaongea kama mwana wa KANDA na siyo mwana UKAWA.
ETI anaomba mdahalo wa WENYEVITI WA VYAMA, kwani JK , MBATIA na JK ndo wanagombea urais? Kwanini wasimlete FISADI wao kwenye mdahalo na TINGATINGA?
LLISSU naye eti RICHMOND ni ya JK , Lowassa alijiuzulu kumuokoa. Wakati wanasema ni FISADI? Na kwa nini asijibu LOWASSA mwenyewe? Porojo tu hizi, wanatapatapa.
Uloi nga mâché68;14015443 said:Sielewi kwa nini UKAWA wanajitoa ufahamu kipindi hiki labda watarejewa na akili Uchaguzi ukimalizika!
Mkuu ndomahana sisi wabongo tunakua kama mazezeta rais alisema lisu anamjua kamtaja unase edo ndoaseme. Jalib kua unaenda na anavyotaka mtu mwenyewe sio ww unavyotaka.
Kama ambavyo Dr. Slaa alivyowatoa pangoni kama Nyoka na kuja porojo za hapa na pale huku wakijisahau kuwa hawakujua ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA ulianzia wapi, ndivyo walivyokuja na porojo tena baada ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, JAKAYA MRISHO KIKWETE alipomwambia LISSU ANATEMEBEA NA MWENYE RICHMOND KWENYE KAMPENI MIKOANI.
Mbatia anakuna porojo za kukemea maneno yasiyostahili kwenye kampeni yanayotumiwa na CCM na kujivika UPOFU na UKIZIWI na kujifanya hajui maneno ya UDINI na UKABILA na kejeli kedekede kutoka kwa Wagombea wao. Hizi ni porojo tu, tena porojo za kuwa msemaji wa CHAMA CHA CHADEMA, UKAWA haupo tena. Hatuwasikii viongozi wa CUF na NLD, watanzania wanajua sasa MBATIA anaongea kama mwana wa KANDA na siyo mwana UKAWA.
ETI anaomba mdahalo wa WENYEVITI WA VYAMA, kwani JK , MBATIA na JK ndo wanagombea urais? Kwanini wasimlete FISADI wao kwenye mdahalo na TINGATINGA?
LLISSU naye eti RICHMOND ni ya JK , Lowassa alijiuzulu kumuokoa. Wakati wanasema ni FISADI? Na kwa nini asijibu LOWASSA mwenyewe? Porojo tu hizi, wanatapatapa.
Mahakama ipi?Huyu fisadi hachomoki mwaka huu ngoja mahakama ya mafisadi ianze.
Vipi atampeleka lini?Jk mjanja sana anasubiri Lowasa amalize pesa kusafirisha watu kwenda kwenye mikutano halafu ndiyo ampeleke mahakamani ili asiwe na pesa ya kuhonga.
Tupo mwaka wa tatu sassHuyu fisadi hachomoki mwaka huu ngoja mahakama ya mafisadi ianze.