Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

Mkuu ndomahana sisi wabongo tunakua kama mazezeta rais alisema lisu anamjua kamtaja unase edo ndoaseme. Jalib kua unaenda na anavyotaka mtu mwenyewe sio ww unavyotaka.
 
Kama ambavyo Dr. Slaa alivyowatoa pangoni kama Nyoka na kuja porojo za hapa na pale huku wakijisahau kuwa hawakujua ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA ulianzia wapi, ndivyo walivyokuja na porojo tena baada ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, JAKAYA MRISHO KIKWETE alipomwambia LISSU ANATEMEBEA NA MWENYE RICHMOND KWENYE KAMPENI MIKOANI.
Mbatia anakuna porojo za kukemea maneno yasiyostahili kwenye kampeni yanayotumiwa na CCM na kujivika UPOFU na UKIZIWI na kujifanya hajui maneno ya UDINI na UKABILA na kejeli kedekede kutoka kwa Wagombea wao. Hizi ni porojo tu, tena porojo za kuwa msemaji wa CHAMA CHA CHADEMA, UKAWA haupo tena. Hatuwasikii viongozi wa CUF na NLD, watanzania wanajua sasa MBATIA anaongea kama mwana wa KANDA na siyo mwana UKAWA.
ETI anaomba mdahalo wa WENYEVITI WA VYAMA, kwani JK , MBATIA na JK ndo wanagombea urais? Kwanini wasimlete FISADI wao kwenye mdahalo na TINGATINGA?

LLISSU naye eti RICHMOND ni ya JK , Lowassa alijiuzulu kumuokoa. Wakati wanasema ni FISADI? Na kwa nini asijibu LOWASSA mwenyewe? Porojo tu hizi, wanatapatapa.

Kama lowasa ni fisadi; nadhani ccm na serikali yake wangekuwa wameshamtia jela, sasa wanashindwa nini? Mmekalia tu majukwaani; fisadi, fisadi si mumshtaki, mnaoogopa nini?
Makamba naye anatuambia eti lowasa alifukuzwa, watanzania wote walimsikia yeye mwenyewe akijiudhuru uwaziri mkuu, sasa ukokufukuzwa kulitoka wapi? Makamba anajidhalilisha, anadhani watanzania ni mazuzu!
 
Uloi nga mâché68;14015443 said:
Sielewi kwa nini UKAWA wanajitoa ufahamu kipindi hiki labda watarejewa na akili Uchaguzi ukimalizika!

Mnahangaika tu! wenzenu wanajua wanachokifanya. Mmesahau kuwa wakati wa vita ni lazima uwe na tafsiri sahihi ya adui wako. Huwezi kuwa mtu wa kuparamia hata pale unapotakiwa kuwa mpole ili ushinde
 
Mkuu ndomahana sisi wabongo tunakua kama mazezeta rais alisema lisu anamjua kamtaja unase edo ndoaseme. Jalib kua unaenda na anavyotaka mtu mwenyewe sio ww unavyotaka.

Wewe kweli unadhihirisha kuwa watanzania tuna akili ya kichina. Jk alishauambia umma kuwa anamfahamu mhusika wa Richmond. Badala ya kuuambia umma hatua alizozichukua kama kiongozi wa nchi, unakomaaza akili yako kwa Lisu. Lisu ni nani katika serikali ya JK? Ndie waziri wa sheria au mambo ya ndani? Kama kweli mna uchungu na nchi hii anzeni huko huko CCM muitake serikali yenu iwajibike kwa kutochukua hatua sahihi juu ya swala hili kwa kuwa kiongozi wa serikali yenu kakiri kuwa siyo yeye tu anaemfahamu muhusika wa Richmond.
 
Kama ambavyo Dr. Slaa alivyowatoa pangoni kama Nyoka na kuja porojo za hapa na pale huku wakijisahau kuwa hawakujua ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA ulianzia wapi, ndivyo walivyokuja na porojo tena baada ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, JAKAYA MRISHO KIKWETE alipomwambia LISSU ANATEMEBEA NA MWENYE RICHMOND KWENYE KAMPENI MIKOANI.

Mbatia anakuna porojo za kukemea maneno yasiyostahili kwenye kampeni yanayotumiwa na CCM na kujivika UPOFU na UKIZIWI na kujifanya hajui maneno ya UDINI na UKABILA na kejeli kedekede kutoka kwa Wagombea wao. Hizi ni porojo tu, tena porojo za kuwa msemaji wa CHAMA CHA CHADEMA, UKAWA haupo tena. Hatuwasikii viongozi wa CUF na NLD, watanzania wanajua sasa MBATIA anaongea kama mwana wa KANDA na siyo mwana UKAWA.
ETI anaomba mdahalo wa WENYEVITI WA VYAMA, kwani JK , MBATIA na JK ndo wanagombea urais? Kwanini wasimlete FISADI wao kwenye mdahalo na TINGATINGA?

LLISSU naye eti RICHMOND ni ya JK , Lowassa alijiuzulu kumuokoa. Wakati wanasema ni FISADI? Na kwa nini asijibu LOWASSA mwenyewe? Porojo tu hizi, wanatapatapa.

Kama Richmond ni ya EL basi nchi hii inauongozi uliooza au inaongozwa na wasiojitambua
 
Siku mbili tatu zilizopita ,kama kawaida ccm kupitia kwa January Makamba walitujuza mwenendo wa kampeni za chama na Mafanikio yake pamoja na Mikakati mipya ya kumalizia hii ungwe ya Mwisho., Moja ya mikakati hiyo ni kuongeza team ya kampeni ,wakiwemo Mwenyekiti wa chama ambaye ndio Rais wetu anayemaliza mda wake,., Ombi langu kwa Mheshimiwa Rais JK ni kwamba ,, Chondechonde kwenye jukwa usitamke Lowasa ndio mwenye Richmond,,, Hili lita leta malumbano mapya na yatakayoibua hisia mbaya juu ya Utawala wako,, Nasema hili sababu ulipogusia tuu kidogo Upande wa pili ukiongozwa na Lisu ulijibu kwa hasira sana, Japo wewe hukutaka kuliendeleza hilo naomba uendelee KULIACHA hili swala maana halina uzito wowote kwa pande zote kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom