Bashite alitaka kumfanya nini huyo mama ?Ule ufedhuli ni kama wa Bashite kumvua hijab makamu, hautasahaulika kamwe.
kwa sababu sisi wa bara hatuwapigii wagombea wa Zanzibar na wanzanzibar hawapigii kura wagombea wa bara isipokuwa kwa wagombea urais tu wa MuunganoHivi kwanini wao wanaenda Zanzibar ila wa Zanzibar hawaji kunadi kura huku?
A planed and strategical campaigns.Duuuh, kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani, huku Chato, Kahama, Bukene, Kaliua,Uvinza, Kigoma, Tukuyu, nk, halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura.