Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Ratiba ya kampeni visiwani Zanzibar - Sept 7, 2020

Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Hajamaliza anazindua kikanda kwanza akishamaliza ndo anaanza ziara za jimbo kwa jimbo
 
Amengua kampeni ktk ngszi ya kansa. Anamalizia Zanzibar. Nafikiri Ndipo ataanza sasa kampeni za barabarani, Jimbo kwa Jimbo, Wilaya kwa Wilaya na Mkoa kwa Mkoa. Hatari sana
Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
 
Duuuh,kwahiyo huku bara Kesha maliza!wengine hatujamuona jamani,huku chato,Kahama,bukene,Kaliua,Uvinza,Kigoma,Tukuyu,nk,halafu tukishindwa tutasema tumeibiwa kura
Kote anakuja huko stay tuned!ratiba ya safari hii inaitwa zubaisha bwege!
 
Ilikuwaje kwani hapa? Anafanana Sana na VP.
Ni VP, ila hilo LA ilikuwaje mkuu mie sijui. Ninachoweza ni kusoma picha tuu. Hapo namuona Bashite kaonyesha dole gumba sijui anamaanisha nini maana ni kama anasema mambo safi!
 
Hivi kwanini wao wanaenda Zanzibar ila wa Zanzibar hawaji kunadi kura huku?
 
Karibu sana visiwani mzee lissu.

Endelea vile vile kutumia kauli laini zenye kuchoma usije kuteleza kidogo wakatafuta sababu ya kukuweka kizuizini...
Swadaktaaaa..naamini kama kuna nyakat ambazo ztawbadilisha watawala akili na mfumo wa kuendesha nchi na maisha ya watu ni sasa. Hili jembe litalima shamba mpaka magugu hayataota tena naamini tena naamini!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
SIKU YA JUMATATU SEPTEMBA 07, 2020

Asalaam alyekum Waheshimiwa Viongozi, Wagombea wa Ubunge, Uwakilishi, Udiwani, Wanachama, Wadau na Wapenzi wa Chadema na Upinzani kwa ujumla...
Nilitegemea leo angefanya ibada maalumu ya shukurani, naona anapuyanga tu
 
Nilitegemea leo angefanya ibada maalumu ya shukurani, naona anapuyanga tu

6 September 2020
Mbeya, Tanzania

Tundu Lissu na mkewe leo Jumapili asubuhi wafika kanisani, misa ya shukrani katika kanisa la St. Anthony Padua Uyole mjini Mbeya , Tanzania.

 
Waeleze Wazanzibar jinsi utakavyo simamia katiba mpya yenye maridhiano bora ya muungano na kuheshimu utaifa na utamaduni wao.
Hilo umelisemea sana tena kwa rejea za kutosha ukiwa bungeni na wao wanajua.
Wewe na maalimu Seif kwa pamoja ndio mtaweka muungano huu kuwa wa kisasa na wenye ridhaa ya wote
 
7 September 2020
Unguja, Zanzibar

Tundu Lissu : Kwa kutambua ukweli lazima ACT-Wazalendo iungwe mkono hapa Zanzibar



Source: ITV Tanzania
 
6 Agosti 2019
FATMA KARUME: Bora Tujitawale Mwenyewe l Zanzibar l Tanganyika l Ata Hawatosheki Viumbe
 
Asante bibi Fatma Karume kwa kuliona hilo na sasa October 28 , 2020 kuna wanaotaka kulisaidia taifa la Zanzibar kwa kusawazisha mambo. "Kujitawala wa Taifa la Zanzibar ni jambo bora kabisa" - mwisho wa kumnukuu bibi Fatma Karume.

Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu wa Zanzibar utapatikana kwa kuacha kuichagua CCM Mpya hapo Oktoba 28, 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom